Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...

Usiwe unatoa udhaifu wa wale watu hadharani hivi, fukuto liiloko kule usifikri atulijui, tunalijua sana tu lakini tunataka kuwagegeda back to back kimya kimya siku wakija kushtuka makombe tutakuwa tushajimilikisha, shida yenu na nyie amnaga koromeo la kutunza siri sijapenda hiki kitu
 
huna kili au hujamsikia kingwa kaongea nini ..afu kuhusu huo mkataba mbona toka mwakajana tunalijua sisi wanasimba unaongea uharo tu

Kigwanomics hawezi ongea yote ila mkanda mzima amekwisha pewa.
 
Muhuni Mama yako, wewe mwenyewe umeshindikana kwa mmeo.

Usikute umesuka dreds na umevaa kajinzi kafupi na miguu imejaa vumbi kama umetoka kucheza singeli halafu unataka kubishana nami Babu yako kwa hoja.
 

Hapana kwakweli.

Watani wana haki ya kujua kinachoendelea klabuni
 
Misri hakuna joto mzee acha fix.
Uongo kama huu ni dhahiri wa shahiri kuwa wewe ni PIMBI. Kama angetaka sehemu yenye joto angeenda MALI au GAMBIA au SENEGAL au hata GHANA huko.

Misri kuna baridi sio la kitoto. Kawadanganye Mambugila wenzako.
 
MAKOLO na Kitu kizito...
 
Sasa si ndio mfurahi kama kuna huo mpasuko unaousema wewe.
 
Wakijiweka mbele kwenye mambo ya Simba sc mnasema matajiri hawatakiwi kushinda mitandaoni, haya sasahivi wamekaa kimya mnaanza kuulizana tena.

Kinachowasumbua wengi wenu ni ukapuku na ugumu wa maisha mnayopitia huko mitaani kwenu.
Naunga mkono hoja.
 
Sasa umesikia barbra ni wa 82? Yule ni wa 70 something.

Hivi huko shule mliendaga kujifunza Uchawi?

Barbra Gonzalenz amezaliwa February 18, 1990 (age 32 years)
 
Utopwinyo bana timu haiendeshwi kwa maneno bali pesa ,hakuna wa kumvimbia mo pale
 

Kijana unaonekana wazi kipindi una soma ulikuwa Back Bencher.

Amekwambia nani temperature ya jimbo la Ismailiya iko sawa na most parts za Tanzania?

 
Kuna watu hawataki kukubaliana na wakati na inkwell mna mambo yamebadilikia sana simba ya sasa siyo ya kila mtu kupayuka bila mashiko na wengi wanataka kujinufaisha kupitia simba kwa maslahi yao binafsi.wakiangalia matobo yote yanazibwa taratibu SIMBA TAIFA KUBWA.
 
Inaonekana baba yako aliwapata akiwa na miaka 35.

Nilizaa mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18 mwaka 1982.

Huyu wa kwenye avatar ni wa tatu kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee sio bureee. Khaaaah
 
Yaani HK kaitwa asaidie? Hapo ndipo uwalakini wa habari hii

Sio asaidie kifedha. La hasha!

Kigwanomics hana financial means ya kutosha kuweza kufanya hiyo hata hivyo we dont have to count him out.

Huwezi jua kwanini walimpigia simu kama hana msaada wa namna yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…