Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hivyo ni vitisho vya kizamani. Ccm ingekuwa kote huko bandari ingeendeshwa bila ufanisi? Subiri utaona jambo hukuwahi kudhani. Endeleeni na mbio za ushirikina uitwao mwenge mkiamini bado utaendelea kumpumbaza watu.Machafuko au Mapinduzi? jaribu halafu ndio utajuwa CCM iko mpaka kwenye nyumba unayoishi hiyo hata kivuli chako CCM.