Hivyo ni vitisho vya kizamani. Ccm ingekuwa kote huko bandari ingeendeshwa bila ufanisi? Subiri utaona jambo hukuwahi kudhani. Endeleeni na mbio za ushirikina uitwao mwenge mkiamini bado utaendelea kumpumbaza watu.Machafuko au Mapinduzi? jaribu halafu ndio utajuwa CCM iko mpaka kwenye nyumba unayoishi hiyo hata kivuli chako CCM.
Wewe unachukulia maisha serious sana, tafuta pesa utasahahu shida zote maisha bongo matamu sana wewe tafuta tu utaishi kwa amani hata dawa za kuongeza nguvu za kiume hutaitaji, maisha murua..Hivyo ni vitisho vya kizamani. Ccm ingekuwa kote huko bandari ingeendeshwa bila ufanisi. Subiri utaona jambo hukuwahi kudhani. Endeleeni na mbio za ushirikina uitwao mwenge mkiamini bado utaendelea kumpumbaza watu.
kuna nchi ya kuongoza hapa mm nawaza nikwapue niende zangu kuishi dubaiAndika vizuri wewe " Taarabu" sio taharabu halafu ndio unataka kuongoza nchi labda udiwani.
😛kuna nchi ya kuongoza hapa mm nawaza nikwapue niende zangu kuishi dubai
Ni kweli ww huchukulii maisha serious kwakuwa dada yako ni mke wa kiongozi, hivyo kila kitu unapewa. Ww ungekuwa mtafutaji usingeongea huu ukhanithi hapa jukwaani.Wewe unachukulia maisha serious sana, tafuta pesa utasahahu shida zote maisha bongo matamu sana wewe tafuta tu utaishi kwa amani hata dawa za kuongeza nguvu za kiume hutaitaji, maisha murua..
Kama na wewe una dada niambie kikuanganishie na wewe utakula maisha kama mimi.Ni kweli ww huchukulii maisha serious kwakuwa dada yako ni mke wa kiongozi, hivyo kila kitu unapewa. Ww ungekuwa mtafutaji usingeongea huu ukhanithi hapa jukwaani.
Mimi sio boya wa hivyo kama ww, maana naweza kufight bila kutegemea hisani ya mtu yoyote.Kama na wewe una dada niambie kikuanganishie na wewe utakula maisha kama mimi.
Sasa wewe umeniambia dada yangu kaolewa na kiongozi nikajuwa labda unanionea wivu ndio maana nimesema unataka na wewe nikuunganishie dada yako, sasa kwani tusi hilo.Mimi sio boya wa hivyo kama ww, maana naweza kufight bila kutegemea hisani ya mtu yoyote.
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕Chukua hili afu pita kushotoSijaumia. Namshauri tu aende kitaaluma na aongeze uwezo wa kudhibiti hisia zake.
Awapo na hasira hatakiwi kuonyesha hasira yake kwa maneno yake. Ajifunze namna ya kutuliza hisia pale anapoongea hoja zake. Ajifunze kuondoa hisia kwenye hoja. Kama hoja ipo sawa haina sababu kuichanganya na hisia.
Hii itamsaidia yeye mwenyewe na wanaomzunguka kufanikisha malengo ya kuufuta mkataba huu haramu wa bandari.
Wewe unamtegemea Mwanadamu? Mfufue sasa.Wala sichungi nimesema wazi kama unavyojitapa nyinyi kuwa mnasema wazi. JPM Mungu angempa umri mrefu tu mlishaanza kuwa na adabu.
Mzalendo ni nani? watu wakupingapinga ndio uzalendo au?ukiunga mkono unakuwa sio mzalendo.
Huna akili,Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Unawaita binadamu wenzako mbwa, haya bwanaNyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Hoja za wakubwa mnuka maziwa ni vigumu kuzielewa.Sasa uuzwe wewe una thamani gani? Mbona mwenyekiti wenu Mbowe hakoselewi, ukimgusa tu na chama unafukuzwa. Eti kuuzwa nani atakununua wewe labda Burundi
CCM haina huo ukubwa unaojigamba nao hapa jukwaani. CCM ilishajifia muda mrefu sana na kilichobakia ni jina tu, kwa ushahidi ni uchaguzi zilizofanyika Zanzibar (2000 - 2020) zote CCM walishindwa na kwa kulazimisha kwao kutumia nguvu watu wengi waliuawa sana, bila kusahau uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa 2019 na ubunge 2020 CCM walifanya dhuluma ya wazi kwa kupitisha watu wao bila kupingwa.. Kama wangekuwa ni wakubwa hivyo wasingetumia vyombo vya ulinzi na tume waliounda wenyewe ili kuwasaidia kushinda.Machafuko au Mapinduzi? jaribu halafu ndio utajuwa CCM iko mpaka kwenye nyumba unayoishi hiyo hata kivuli chako CCM.
Kila mtanzania anakila sababu ya kumheshimu Raisi, lakini hakuna ulazima wa kumpenda!6Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Acha ujuha wewe!Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.