mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Siyo kila anayetoa hoja tofauti na wewe ni CHADEMA. Ungejibu hoja yangu ningekuelewaNyinyi Chadema sio ndio lugha myaoelewa. Mtu akiwa mstaarabu nyinyi ndio mnaona idhaifu, Rais Samia mpole mnamuona dhaifi mnahitaji watu kama JPM ndio mnakuwa na heshima.