Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Kwahiyo sisi tufanyaje??

Umbea inautaka ila kifaransa kinakupiga chenga sasa Sakho atakuelewaje?
 
We mwanaumee suruali ulitaka ajipendekeze Kwa shiga Ako Manara Ili aoe oe wake wengi na kuacha eehh[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Roho mbaya inakusumbua!! nahisi utakufa sio muda baada kusikia karuka kuchezea klabu moja kubwa ulaya.. Sakho na Mane ni mtu na mtuwe katazame tuzo za CAF msimu uliopita..
 
Yani ni aibu...aibu..aibu kubwa.
 
Nimeona pale Mane anawafuasi milion 26..yaani wale waote wakiona ile video hatarii..Sakho na Simba vinazidi kupata milage..acha tu wachanganyikiwe...hizi wiki mbili hizi Simba imetajwa sana na kusomwa kwenye mitandao.
 
Umemaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…