Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchawi umeanza lini?
Kumbe kukutakia heri kwa Mh ERoni ni uchawi?

Nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana, naomba unisamehe Atoto Mama...[emoji849]
 
Aaah.. Kumbe ni Mali ya ndugu yangu ERoni πŸ™„
Siku zote Ananipangia hana mtu, ananielewa kichizi, kumbe Mali ya ndugu yangu,
Naacha mara moja.
Makolo wamekuharibu kichwa walah!! Bora tu uhame.
Tangu lini unasikiliza umbea!!
 
Ukiona mwenye nyumba analipiwa kodi kwa nyumba hiyo hiyo.. Ujue mapenzi hayo ni hatari.
Mapenzi yamenizidia, waweza nipikia msosi na nikaulipia wakati na mahari nishatoa.

Mapenzi tu
Asipokuelewa na hapa kesho mshikie bango juu juu kisha umtangaze Dar yooote asubuhi hadi jioni kuwa umemzimia yeye pekee Atoto Malkia wa nguvu ...[emoji142]
 
Aaah.. Kumbe ni Mali ya ndugu yangu ERoni [emoji849]
Siku zote Ananipangia hana mtu, ananielewa kichizi, kumbe Mali ya ndugu yangu,
Naacha mara moja.
Hapana bhana, unakataje tamaa kirahisi hivyo Mkulungwa?

Usijekuta alipanga mkakati wa kukukataa kupitia Ndugu ERoni ili aangalie msimamo wako Mr?

Komaa kwa ile filosofi ya "Aluta Continua"
 
Ndugu,
Hii tabia imeanza lini kuingilia miji ya kaka zako?[emoji16]
Ohooo...! Mi thimo...[emoji125][emoji1787]

Labda alihisi makaveli10 we ERoni ni Moran "Masai Boy" kwamba atachoma tu mkuki mlangoni pako na kuendelea kula tunda la bustanini Eden [emoji1745][emoji1]
 
Sikusamehe kwakweli, umeniharibia.
Basi kumbuka tu hata jema langu 1 tu nililokuomba urudishe picha ya profile lako ndilo linapendezea jina lako zuri la "Atoto" baada ya kubadilisha kisha uliirudisha hii badala ya ile nyingine Mama...[emoji1745][emoji134]
 
Hata mimi siridhishwi POS kutopewa muda wa kucheza hata Phiri ndiyo alikuwa majeruhi amepona hadi mechi ya ruvu shooting ambayo haikuwa na umuhimu wwte kwetu kocha alishindwa kumpa Phiri nafasi kweli?
Kwanini mechi dhidi ya ruvu shooting haikuwa na umuhimu?
 
Sasa si ujinga huu, kisa simba ufe kizembe, una watu kibao wanakutegemea, una IZ DED kisa boli
 
Mzee mwenzangu wewe wa kunifanyia hivi kweliπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Nimekufanyaje, we si ndio kila siku unasema unataka tuwe pamoja, tuwe tunasonga nguna we ukiwa umevaa jezi ya utopolo na kichupi, mie nikiwa nimevaa jezi ya FISTON mayele, kumbe mzee mwenzangu ni Mali ya mtu,
Hunitakii mema unataka watu wanikate hiki kikojolea changu, hata kale kaburudani ka kupiga kimoja cha jogoo nikose, kweli mzee mwenzangu, nimekukosea nini mimi 😭
 
Makolo wamekuharibu kichwa walah!! Bora tu uhame.
Tangu lini unasikiliza umbea!!
Kolo ni mjomba, na mjomba ni mama, shati unyonye kwa mama, nami Sina NIDO ndio maana nakupaga bolkoni unyonye.. πŸ˜‚πŸ€£

Usinifanye ndemwa, umuite Eroni hapa Kisha uchague moja nijue Zipi chuya upi mchele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…