Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Simba sio baba yangu wala mama yangu, haiwezekani mie nikose kufinyiwa ndani kisa simba, tena huyu toy wa kariakoo, simba wapo serengeti huko.

Ni nitahama mzee mwenzangu. 😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Walah nimecheka kwa nguvu!! Mzee mwenzangu umenishinda tabia.
 
Pole sana Mzee Baba, duniani huwezi kufurahia mema kila siku kwani huzuni pia ni sehemu ya maisha [emoji2]
Kabisa tu, ufurahi wewe kila siku, hiyo furaha umeiumba wewe..
Kikubwa ni kuendelea furaha hata siku za majonzi kwa kukubali uhalisia.

Msimu haukuwa wetu, kuna makosa yalifanyika, tumekubali hapo na tuko hapa kuchangamSha baraza(kuendelea furaha)
 
Back
Top Bottom