Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Hiyo ndio mahari mzee mwenzangu🤣🤣🤣
Hamia huku kwenye raha.
Aahh.. Kulaleki mbona kama unataka kuniokota kirahisi hivii.. Yaani mahari ni mimi kuhama utopoloni🤔🤔

😂🤣
 
Beno naye angeondoka tu naona hayupo kwenye mipango ya kocha.

Abaki huyo amateur!
 
Ndio mzee mwenzangu🤣🤣🤣
Hama upate mema ya nchi.
Simba sio baba yangu wala mama yangu, haiwezekani mie nikose kufinyiwa ndani kisa simba, tena huyu toy wa kariakoo, simba wapo serengeti huko.

Ni nitahama mzee mwenzangu. 😂🤣
 
Mm nina machache kiufundi zaidi.
1.Sackho anataka kufanya mambo mengi uwanjani km alivyo Morison hivyo hua wanachoka haraka nakuharibu uzuri walionao. ..kwangu mm ningemtumia sn km supper-sub. .dk 30 za mwisho lazima acheze ilikuja badili mchezo. ..hua hawezi cheza dk zote na akakupa kitu bora hiliningemuambia kabisa.
3.Phiri simzuri kwa formation ya kumtanguliza acheze peke yake. .nmzuri sn akiwa na watu waliopo karibu (4-3-3,3-5-2 or 4-4-2 ya diamond. ..mana hake lazima awepo mtu wapige 1-2 na yy kuhama eneo. .ndio mana nilishangaa sn kwann kocha hakuwaingiza sackho & Phili kipindi cha pili game na wydad ile ya taifa. ..wangewwza tafuta goli la 2.
Mm nisingewaruhusu kwa sasa waondoke ila ningekua nafanya rotation ya team kule mbele iliwote wawe kwenye kiwango bora.
 
Hata mimi siridhishwi POS kutopewa muda wa kucheza hata Phiri ndiyo alikuwa majeruhi amepona hadi mechi ya ruvu shooting ambayo haikuwa na umuhimu wwte kwetu kocha alishindwa kumpa Phiri nafasi kweli?
Kibu Denis achunguzwe vizuri, inawezekanaje POS kukaa benchi mwenye goli zuri la CAFCCL la mwaka ilihali KD anajichezea tu vyovyote atakavyo Msimbazi?
 
Mdhamini mswahili swahili kama mzaramo😂😂😂
Mara atoe cheque fake
Haijulikani hata ya bank gani...makolo yanaishia kupiga makofi tu sijui yamelogwa😂😂😂
Mara awasimange🤣🤣🤣🤣
Wataja niulia mtu walah!!
 
1. Phili ni mchezaji wa KAWAIDA sana.
ZORAN MARK NA ROBERTINHO MAKOCHA WOTE HAWAKUMUAMINI.


2. ALAFU Bahati Mbaya zaidi phili ni no 10.
Hiyo namba Ina watu kama
Sackho.
Chama.
Saido.

3. JARIBU kumuangalia Phili vizuri akiwa na mpira anaanguka sana, anapoteza mno, anapata majeraha mengi.

Mechi ya Simba na yanga 1.1 ndio nilipomchunguza phili vizuri. Alikuwa mbovu mno

UBORA WA PHILI.

Phili ni mzuri kwenye kufunga tu
Kumbuka alitoka kuwa Majeruhi si muda mrefu, ulitegemea afanye miujiza ipi nakati hata Ulaya huwa twaona jinsi inavyowagharimu Wachezaji muda flani kurudi katika kiwango chao kama awali?

Mfano James Beki la Cheshii pale western London.
 
Back
Top Bottom