Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hamna sio makombe..kukosa makombe kawaida...timu haiwezi kuwa kwny form kwa miaka mfululizo kuna kuchoka tuuStress za kukosa makombe?
Tulia mama, ndivyo Yanga walivyoteseka enzi za mdororo wa team🤣🤣🤣