Sala au maombi gani ambayo uliwahi kusali yakaleta matokeo tushirikishe

Sala au maombi gani ambayo uliwahi kusali yakaleta matokeo tushirikishe

Huwezi ukafanikiwa kwa maombi bali juhudi binafsi zinafanya lisilowezekana liwezekane.
 
Niliwahi kufunga na kuombea jambo fulani kwa muda kama miaka miwili bila matokeo. Nikafanya kazi moja nikapata hela, 80% ya ile hela nikamlipia ada yatima aliekuwa darasa la saba na ada imekosekana. Ndani ya mwezi lilijibiwa lile ombi kimiujiza.
So kama maombi yamefeli ongeza sadaka inayouma.
 
Back
Top Bottom