Tofauti ya kiswali na kisali ni Nini?wakristo huwa hawaswali, ispokua huwa wana sali, sala mbalimbali kulingana na mahitaji ya ya kiroho na kimwili π
Wewe mtoto mdogo sana huwezi elewa mambo ya Spiritual Realm,This is takataka,,, hivi inaingia akilini Mungu ampe uungu kiumbe chake, then kiumbe hiko kiuwawe au kusulubiwa wakati huo huo ana nguvu za kiungu, huoni ni kama kuonyesha kuwa Mungu hana nguvu hata za kujilinda mwenyewe????
Haya mwenye mamlaka kafa, nani atakuwa na mandate ya kidunia????
Kwenye uislamu tunaamini Mungu ni mmoja hapo hapo tunaamini kuhusu mitume yesu akiwamo, lakini hatuamini kama amekufa au amesulubiwa, na hana mamlaka ya kiungu aliyopewa,,,!!!
vitu vingine ni kutumia akili, yaani mashetani wazungu wamekuwezeni kweli kweli, na bahati mbaya mliyonayo hamna hata huo muda wa kujifunza dini yenu, mpo mpo tu duniani,.
Hivi hamfikirii kwa nini sehemu nyingi zilizotajwa kwenye biblia ni makazi ya waislamu kwa sasa, na kwa nini sehemu hizo hizo hakuna hata dhehebu la kikristo lililoanzishwa huko,,,!!!!
Jiulize ukristo ulifikaje ulaya ya magharibi na kwa nini walianzisha madhehebu wakati wenyewe ni wapokeaji tu wa dini kama ilivyo kwa waafrika???
achana na hilo, hivi hujiulizi kwa nini wazungu ambao si wakristo wa asili wana mamlaka kiasi cha kutaka mabadiliko kwenye dini na biblia pia???
yaani kwa ufupi ukristo sio dini ya maana.
Na kama kuna mtu anaamini yeye ni mkristo mwenye imani thabiti na dini yake ipo sahihi ruhusa kuni pm, akiwa na hoja za msingi, sio porojo na makasiriko.
This is takataka,,, hivi inaingia akilini Mungu ampe uungu kiumbe chake, then kiumbe hiko kiuwawe au kusulubiwa wakati huo huo ana nguvu za kiungu, huoni ni kama kuonyesha kuwa Mungu hana nguvu hata za kujilinda mwenyewe????

Hayo ni maneno ya kiimani tu yaliyopo kwenye dini yako uliyo irithi toka vizazi na vizazi, kutoka kwa wa missionary wakizungu kama kitangulizi cha ukoloni.Wewe mtoto mdogo sana huwezi elewa mambo ya Spiritual Realm,
Kiufupi bado huelewi mambo upo gizani tafuta ukweli uwe huru,
Katika Ulimwengu huu kuna nguvu mbili tu zinazoendesha Ulimwengu huu nazo ni
1. Nuru
Hii ni Nguvu kuu ya Uungu inayoendeshwa na the Ultimate God kama Asili ya Uungu,Uumbaji wa hizi Universes Zote mbili yaani visible na Spiritual Realm na Mkuu wake ni Eternal Son of God (Mwana wa Mmiliki) yeye ndie ile Nuru ya Ulimwengu na Jina lake ni Moja tu Lord Yashua Amashiach Nazarene (Jesus Christ of Nazareth)
Huyu ndie lile Jiwe kuu la pembeni walilolikataa waashi na wanao mkubali as a Lord wanafanyika kua Wana na wanapewa Asili ya kiungu!
Yaani usipojua hii siri ya Uungu utakua blind na mambo ya kiroho kiasi kwamba ni huna Mungu ndani yako unaishi kama kiumbe wa kawaida tu
Nikuibie siri tu ukitaka kuijua hii siri tafuta watu wa Nuru wakupe siri na kwa sababu una dharau kwa hao watu na Dini yako imekuaminisha hao ni makafiri basi ushauri wangu tafuta watu wa Giza kawaulize Who is Lord Jesus Christ katika Ulimwengu wa Roho!
2.Giza (darkness spiritual realm)
Huu ni Ulimwengu wa giza Unaongozwa na aliyekua Malkia wa Mbinguni,
Mkuu wake ni Satan/Iblis baba wa Uongo hana kweli ndani yake tangu Mwanzo na ni mwuaji na baba wa ubaya wote, kwenye Maandiko anatajwa kama baba wa Ulimwengu huu na chanzo cha maovu haitaji kuelezewa maana kazi zake zinaeleweka sababu ni dhahili kabisa na ni Mwongo anayepotosha kweli juu ya Mamlaka ya Yesu Kristo na nguvu zake akiwatia watu upofu wasione wokovu wakapata kombolewa na huyu ndie aliyekufunga usijue siri ya Uungu Wa Bwana Yesu Kristo kwa elimu za bure na hekima za kibinadamu Ili uendelee kua mateka wake kiroho na ndio maana sishangai mpaka leo watu wanadhani dini zao ni mpango wa Mungu kumbe hakuna hata dini Moja ambayo inamjua Mungu ila ni wokovu kwa njia ya Bwana Yesu Kristo ndio unapata siri ya Uungu na Unafunuliwa Ufalme wa Mungu!
Watu wooote wanaoexiprience Ulimwengu wa Roho wawe wa Nuru au wa Giza wanajua hii siri kua
Bwana Yesu Kristo ndie ile Nuru ya Ulimwengu bila yeye you are Lost!
Ikiwa na maana wewe na wenzako wa Dini hampo kwenye Ulimwengu wa Nuru na hamjui Nuru pia mmefungwa kwa Elimu ya giza mpo mpo tu vugu vugu na Maandiko yanasema heri uwe moto (Nuru) au baridi (Giza)
Ukiwa vugu vugu utatapikwa!
Jesus is Lord!
Ok hivyo ndivyo mnavyojidanganya mkiwa kwenye vilinge vyenuHayo ni maneno ya kiimani tu yaliyopo kwenye dini yako uliyo irithi toka vizazi na vizazi, kutoka kwa wa missionary wakizungu kama kitangulizi cha ukoloni.
Umechanganya kachumbari na utumbo wa kuku, jitahidi sana uwe enlightened kweli na sio kuleta abakadabra za kwenye biblia na illusion unazoita kiroho .Ok hivyo ndivyo mnavyojidanganya mkiwa kwenye vilinge vyenu
Kumbuka Maswala ya Mungu hayapimwi kwa athari na matokeo ya kimwili
Kumbuka Maswala yote yanayohusu Mungu au Shetani yanapimwa katika Spiritual Realm na Ili uyajue lazima uwe Enlightenment au Dark side practice bila hivyo
Hakuna mtu atajinasibu na Dini yake kua wao ndio sahihi bila kupima matokeo ya kiroho na ndio maana watu mlio wengi bado mpo kizani kuhusu maswala ya kiroho kwa sababu mnayapima kwa akili zenu mbili na kwa kuambiwa badala ya kupractice sishangai tukibishana hapa sababu hakuna elimu ya Haya mambo umeexperience!
Hujawahi kua Enlightened wewe mpaka unaita Biblia adacadabra wakati huko kuna watu wa kutolewa mifano waliokua Enlightened yaani mpaka hapa inaonesha hujui kitu kuhusu spiritual awakening!Umechanganya kachumbari na utumbo wa kuku, jitahidi sana uwe enlightened kweli na sio kuleta abakadabra za kwenye biblia na illusion unazoita kiroho .
Umechanganya kachumbari na utumbo wa kuku, jitahidi sana uwe enlightened kweli na sio kuleta abakadabra za kwenye biblia na illusion unazoita kiroho .
Jifunze kwanza namna ya kutawala hisia zako na kuongoza ego yako , hata ikipita miaka 10 then tuje tujadili una kitu utafika mbali .Hujawahi kua Enlightened wewe mpaka unaita Biblia adacadabra wakati huko kuna watu wa kutolewa mifano waliokua Enlightened yaani mpaka hapa inaonesha hujui kitu kuhusu spiritual awakening!
So master of all Enlightened people inamjua ni nani?
Hapa hakuna hisia wala Ego hicho ni kivuli tu unatumia kupotezea mjadala, hapa kweli ndio inamuweka mtu huruJifunze kwanza namna ya kutawala hisia zako na kuongoza ego yako , hata ikipita miaka 10 then tuje tujadili una kitu utafika mbali .
Upo sawa kwa fikra zako mkuu πHapa hakuna hisia wala Ego hicho ni kivuli tu unatumia kupotezea mjadala, hapa kweli ndio inamuweka mtu huru
Kwenye Spiritual Realm Roho Mtakatifu (Holly spirit)
Anagawanyika kwa mtu kwa namna gani
Zipo mbili zitaje nijue kama kweli wewe umeexperience Ulimwengu wa Roho!
Nipo hapa nijifunze!
Yesu alikuwa akitawadha na kusali kwa kusujudu ,wakristo hawafanyi hivyo sasa sijui mafundisho wameyapata wapiWakristo hawana pengine pa kujifunzia kusali isipokuwa kama walivyofundishwa na Bwana Yesu.
This is takataka,,, hivi inaingia akilini Mungu ampe uungu kiumbe chake, then kiumbe hiko kiuwawe au kusulubiwa wakati huo huo ana nguvu za kiungu, huoni ni kama kuonyesha kuwa Mungu hana nguvu hata za kujilinda mwenyewe????
Haya mwenye mamlaka kafa, nani atakuwa na mandate ya kidunia????
Kwenye uislamu tunaamini Mungu ni mmoja hapo hapo tunaamini kuhusu mitume yesu akiwamo, lakini hatuamini kama amekufa au amesulubiwa, na hana mamlaka ya kiungu aliyopewa,,,!!!
vitu vingine ni kutumia akili, yaani mashetani wazungu wamekuwezeni kweli kweli, na bahati mbaya mliyonayo hamna hata huo muda wa kujifunza dini yenu, mpo mpo tu duniani,.
Hivi hamfikirii kwa nini sehemu nyingi zilizotajwa kwenye biblia ni makazi ya waislamu kwa sasa, na kwa nini sehemu hizo hizo hakuna hata dhehebu la kikristo lililoanzishwa huko,,,!!!!
Jiulize ukristo ulifikaje ulaya ya magharibi na kwa nini walianzisha madhehebu wakati wenyewe ni wapokeaji tu wa dini kama ilivyo kwa waafrika???
achana na hilo, hivi hujiulizi kwa nini wazungu ambao si wakristo wa asili wana mamlaka kiasi cha kutaka mabadiliko kwenye dini na biblia pia???
yaani kwa ufupi ukristo sio dini ya maana.
Na kama kuna mtu anaamini yeye ni mkristo mwenye imani thabiti na dini yake ipo sahihi ruhusa kuni pm, akiwa na hoja za msingi, sio porojo na makasiriko.
Manabii na mitume wetu wanasema iambatane na fungu la kumi, vinginevyo hautasikilizwa.Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali.
Fikra zangu!Upo sawa kwa fikra zako mkuu π
Eti nipo serious na maisha mkuu kausha ππFikra zangu!
Upo serious na maisha kweli yaani maswala ambayo yapo common ndio fikra wakati kila siku watu Spiritual Wana practice?