Kwa kifupi kuna sala/dua na maombi binafsi ya mtu
ktk ukristo
Yesu alisema wasali ile sala ya baba yetu uliye mbinguni
maombi yanategemea khs nini
lakini katika maombi lazma kwanza uumpe MUNGU utukufu wake, pili kushukuru na tatu ni kuomba kusamehewa dhambi, nne lengo la maombi na tano ni kukiri yale maombi yanawezekana kulingana na maandiko na sita ni kukabidhi iman yako kwa MUNGU