Sala za kale zinazopaswa kutumiwa kwa makini sana

Sala za kale zinazopaswa kutumiwa kwa makini sana

1. Ili kujikomboa kutoka kwenye mahusiano yaliyojaa ugomvi mtupu..!

funga fundo gumu kwenye uzi mweusi, ushikilie juu ya mshumaa uliowashwa na useme maneno haya
"Kifungo kilichogeuka kuwa ugomvi, ninakutegua. Kilichokuwa chetu ninakirudisha kwenye upepo, kilicho changu kinabaki nami. Ikiwa kifungo hiki kimeteguka, nishuhudie ishara tatu:
watu wakizungumza, mlango ukifungwa kwa kishindo na mbwa akibweka."

Kisha kata fundo hilo kwa mkasi na utupe uzi huo kwenye pipa la taka, mbali na nyumba yako.
mnganga mkuu bana dah :pedroP:
 
Shindwa kwa jina la Yesu
ungeanza kwa kuainisha vipengele vilivyo kinyume na Mungu apo ningekuona wamaana sana aisee. Mana hata huko kanisani huwa mnawasha mishumaaa pia kuagizwa kuombea baraka zenu, hata mahusiano yenu, kuombea nyumba zenu ,kutakasa malango yenu n.k. n.nk

ivi wanaposema omba kwa kuamini huwa wanamaanisha nini, na kiri kupokea, huwa una kiri nini?kupokea nini na kutoka wapi? na huwa unaombaje?
 
Back
Top Bottom