Magufuli alikuwa mcheshi sana.
Hakuna kitu hapo
Kabisa, hakukuwa na haja ya kupinga kila kitu just kwa kuwa ni wapinzani.Siasa siyo vita. Kuijenga nchi hivi kwa pamoja ilikuwa inawezekana.
Magufuli alipishana na upinzani pale alipoona wanaoshirikiana na majizi yetu.Kabisa, hakukuwa na haja ya kupinga kila kitu just kwa kuwa ni wapinzani.
Waaaapiiii!Magufuli alikuwa mcheshi sana.
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.Magufuli alipishana na upinzani pale alipoona wanaoshirikiana na majizi yetu.
Magu alifahamu michezo yote hivyo yeyote alisisima katikat ya nia yake njema alichukua hatua stahiki.
Ila bado naamini Mbowe ananafasi ya kuliponya taifa maana hali ilivyo CCM waliona na nguvu kipindi hichi (Makamba&co) ni laana kwa taifa
Angalia hiyo clip.Waaaapiiii!
Waaaapiiii! Mbowe is second to none when it comes to patriotism and issues concerning national importance.Baada ya Magufuli mzalendo mwingine tuliebaki naye ni Mbowe
Kabisa, hakukuwa na haja ya kupinga kila kitu just kwa kuwa ni wapinzani.
Huo ni ukweli baada ya kuona hoja zao hazipiti ikulu kama ilivyokuwa awamu ya nne au sasa hivi kwa Bibi Hangaya waliamua kutafuta njia mbadala.Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Issue hapo ni Mbowe vs Makamba & coWaaaapiiii! Mbowe is second to none when it comes to patriotism and issues concerning national importance.
Mkuu, nikumbushe lini upinzani mlimuunga mkono JPM.Si sahihi kudhani wapinzani wanapinga kila kitu. Fikra za kuwa wapinzani wanapinga kila kitu ni potofu.
Kuwapo kwa wasaa wa kubadilishana mawazo wa ana kwa ana kungeweza
kusaidia kuondoa dhana potofu hizi.
Mheshimiw Mbowe akiwa na Shetani siku hiyoHapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:
View attachment 2037594
Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:
"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."
Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si mtu wa visasi.
Eeh Mola wetu umlinde na kumfanyia wepesi mja wako huyu.