- Thread starter
- #41
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Hawa nao walikuwa wanatumiwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Maendeleo ya kweli na pamoja na uhuru wa watu.That was politicians' play on power struggle... Sidhani kama ilikuwa na effects sana kwetu kama nchi as long as Watanzania tulikuwa tunaletewa maendeleo.
Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:
View attachment 2037594
Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:
"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."
Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si mtu wa visasi.
Eeh Mola wetu umlinde na kumfanyia wepesi mja wako huyu.
Nina uhakika Magu ndo alizuia mashtaka ya Huyu Mwamba
Leo hii magufuli alikuwa mcheshi
Una maana hata jiwe (Magu) alijua Mbowe hakuwa gaidi?
SawaMagufuli alipishana na upinzani pale alipoona wanaoshirikiana na majizi yetu.
Magu alifahamu michezo yote hivyo yeyote alisisima katikat ya nia yake njema alichukua hatua stahiki.
Ila bado naamini Mbowe ananafasi ya kuliponya taifa maana hali ilivyo CCM waliona na nguvu kipindi hichi (Makamba&co) ni laana kwa taifa
Mbowe hastahili kuitwa mzalendo hata kidogo
Huwezi kupewa heshima hii ikiwa unaendekeza hulka za kikabila
Katika moja ya ziara zake huko mikoa ya kanda ya Ziwa kabla hajakamatwa, Mbowe alisema ameshuhudia kwenye utawala wa Magufuli kabila lake (la Mbowe) wachaga wakiwa hawaajiriwi wala kupewa fursa za ajira Serikalini na taasisi zake kama ilivyokuwa zamani
Sasa kwa kauli ya namna hiyo kwa mtu ambae ni kiongozi wa kitaifa wa Chadema anatoa tafsiri kwamba yeye yuko pale kuangalia maslahi ya wachaga.
Kwamba yupo uongozini kuangalia watu wake wa nyumbani,,,, ni wachaga wangapi wameteuliwa, wameajiriwa, wangapi wametenguliwa, wangapi wamefanyiwa hivi au vile
Kwa nchi yenye makabila zaidi ya 100 inatia kinyaa kuona kiongozi wa kaliba ya Mbowe Kuzungumzia ishu ya ukabila tena kuangazia kabila lake la Wachaga,
je vipi kuhusu wahaya, wanyaturu, wakinga, wagogo, wanyakyusa, wandewe etc nao waanzishe chama Chao cha upinzani kufatilia maslahi ya kabila lao ktk teuzi na tenguzi Serikalini..!????
Na si ajabu kuona Chadema miaka nenda rudi imekuwa ikituhumiwa kujaa ukabila ktk nafasi zake za kiuongozi mpaka ktk teuzi zake za ubunge viti maalumu,,, kumbe anaekiongoza chama hiki ndio muasisi mkuu wa Ukabila ( rejea waraka wa Marehemu Chacha Wangwe kuhusiana na ukabila uliopo chadema)
Sasa mtu wa namna hii hafai si tu kuhodhi nafasi yoyote Serikalini bali hata kupewa sifa ya kuitwa eti MZALENDO
Alimtesa nani mkuu kila saaa watesi .hivi ingekuwa ndo jpm aliyemfungulia mashtaka mbowe leo hii si mngekuwa mmeshaaparuana naye sana huyu jpm .but nzuri kipenzi chenu ndo kimemwekeea nyuma ya nondoHapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:
View attachment 2037594
Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:
"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."
Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si mtu wa visasi.
Eeh Mola wetu umlinde na kumfanyia wepesi mja wako huyu.
Mbowe amebambikiwa kes na naniTambua Mama Samia alipoanza alikuwa na uungwaji mkono wote hadi alipokuja kuyakoroga.
JPM alipoanza na kuondosha polisi wala rushwa sehemu mbalimbali haswa traffic aliungwa mkono. Mengi mazuri yalifanyika kipindi cha Kangi Lugora na dhuluma za polisi hasa wa barabarani.
Mkuu JPM tusingeweza kumwunga mkono kwenye:
1. Misimamo yake na ugonjwa wa Corona
2. Kuiingilia mihimili mingine ya utawala
3. Kuendesha na kuratibu magenge ya watu wasiojulikana
4. Ubambikaji wa kesi kwa watu
5. Kutokuzingatia katiba yakiwamo kuzuia mikutano ya siasa
6. Wizi wa chaguzi hasa 2019/20
7. Ununuzi wa wapinzani kwa pesa za umma
8. Upelekaji wa miradi kwao kinyume cha katiba
9. Manunuzi ya madege kinyume cha katiba
10. Kujinasibu kwake hadharani kupeleka miradi kunako wabunge na wakilishi wa CCM tu
11. Kuuwa demokrasia nchini
12. Kujenga chuki baina ya watu kisiasa
13. Kuwa kina Sabaya na kina kondakta Kwamba walikuwa majembe
14. Kuzuia mabinti wanaopata ujauzito kutorudi shule
15. Kutokulipa wastaafu mafao yao kwa wakati
16. Kufilisi watu kwa kuwabambikizia madai ya kodi hewa
17. Nk nk.
Labda utuonyeshe wewe kuwa ulitegemea Tumwunge mkono kwenye lipi zaidi.
Kama unampenda sana huyo lissu si mfuate huko ulayaHakukuwa na haja ya Lissu kufunguliwa msururu wa kesi na kuumizwa vile
Hakukuwa na sababu ya kuwa na C19 bungeni
Katika nchi ya kidemokrasia; tunaangalia manufaa ya watu wengi.Maendeleo ya kweli na pamoja na uhuru wa watu.
Alimtesa nani mkuu kila saaa watesi .hivi ingekuwa ndo jpm aliyemfungulia mashtaka mbowe leo hii si mngekuwa mmeshaaparuana naye sana huyu jpm .but nzuri kipenzi chenu ndo kimemwekeea nyuma ya nondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yupi? Mwanyika si mmempa ubunge ingawa ndio alitorosha makinikia? Tena JPM alimuita mzalendo!!Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Kama yupi? Mwanyika si mmempa ubunge ingawa ndio alitorosha makinikia? Tena JPM alimuita mzalendo!!
Ni hivi serikali huwa inaamua nani awe adui yake kulingana na maslahi. Lugola kuingia mikataba ya kifisadi na mabeberu hutoskia CCM inatumika na mabeberu ila Lissu akiingilia kukosoa huo mkataba ndio anaangushiwa lawama utadhani aliwahi sign makinikia yasafirishwe!!
JPM was overrated
Mengi tu walikubaliana naye tena walipongeza bungeni.Mkuu, nikumbushe lini upinzani mlimuunga mkono JPM.
1. Uchaguzi wa 2015 ulikua ni kma vita so hta kushinda Urais wengi wanaamini aliiba kura (Kama alivyokiri Mhe. Amani Karume). So hakutaka tena apitie ile changamoto, so alidhamiria kuwapoteza kabisa upinzani.Magufuli alipishana na upinzani pale alipoona wanaoshirikiana na majizi yetu.
Magu alifahamu michezo yote hivyo yeyote alisisima katikat ya nia yake njema alichukua hatua stahiki.
Ila bado naamini Mbowe ananafasi ya kuliponya taifa maana hali ilivyo CCM waliona na nguvu kipindi hichi (Makamba&co) ni laana kwa taifa