Sala za Mbowe kwa Rais Magufuli

That was politicians' play on power struggle... Sidhani kama ilikuwa na effects sana kwetu kama nchi as long as Watanzania tulikuwa tunaletewa maendeleo.
Maendeleo ya kweli na pamoja na uhuru wa watu.
 

Nina uhakika Magu ndo alizuia mashtaka ya Huyu Mwamba
 
Sawa

 

Ila uzalendo ni kusokomeza watu kwenye viroba?



Wako wapi akina Ben, Azory, Urio, Lijenje Malema? Nani walikuwa kwenye viroba?

Kwanini kina Lissu walilengwa kuuliwa?

Uzalendo ulikuwa kulea Makundi ya kina Sabaya na wasiojulikana?
 
Alimtesa nani mkuu kila saaa watesi .hivi ingekuwa ndo jpm aliyemfungulia mashtaka mbowe leo hii si mngekuwa mmeshaaparuana naye sana huyu jpm .but nzuri kipenzi chenu ndo kimemwekeea nyuma ya nondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe amebambikiwa kes na nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimtesa nani mkuu kila saaa watesi .hivi ingekuwa ndo jpm aliyemfungulia mashtaka mbowe leo hii si mngekuwa mmeshaaparuana naye sana huyu jpm .but nzuri kipenzi chenu ndo kimemwekeea nyuma ya nondo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu waliowatesa kina Adamoo, Ling'wenya, Mhina, Mdude, Ben, nk ni watesi wake kama walivyo watesi wetu.

Waratibu wa hayo wakiwamo vinara wao si ndiyo watesi wenyewe?

Au wewe huoni hivyo?
 
Mbowe amebambikiwa kes na nani

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukibambikiziwa kesi wewe ndiyo tumebambikiziwa sisi na ndiyo kubambikiziwa kesi Mbowe.

Nani asiyejua kuwa ya kubambikiziana kesi yalishika kasi kutokea awamu ya tano?

Hatuna simile na mpora haki yeyote iwe kupitia kubambukiza kesi au hukumu.
 
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Kama yupi? Mwanyika si mmempa ubunge ingawa ndio alitorosha makinikia? Tena JPM alimuita mzalendo!!

Ni hivi serikali huwa inaamua nani awe adui yake kulingana na maslahi. Lugola kuingia mikataba ya kifisadi na mabeberu hutoskia CCM inatumika na mabeberu ila Lissu akiingilia kukosoa huo mkataba ndio anaangushiwa lawama utadhani aliwahi sign makinikia yasafirishwe!!

JPM was overrated
 

Hadi tutakopokuwa na katiba mpya yenye kuwawajibisha watu, haitakuwa ajabu madwalimu kuwa eti ndiyo wazalendo na wazalendo wanaweza kuendelea kusemekana kutumika na mabeberu.
 
Mkuu, nikumbushe lini upinzani mlimuunga mkono JPM.
Mengi tu walikubaliana naye tena walipongeza bungeni.

Mfano Bulk Procurement ya mafuta
Kupunguza matumizi serikalini
Reserve ya benki kuu kuimarika
Kutenganisha wizara ya nishati na madini
Kuchukua hatua dhidi ya wahusika wa Tegeta Escrow
Kuondoa VAT kwenye pedi
Kuanzisha sovereign wealth fund n.k

Kapitie hansard za bungeni utaona mambo yote ambayo KUB alikua anaunga mkono sector by sector sio kelele za twitter au JF.

Kingine mfano Makinikia na ATCL waliunga mkono hatua zilozochukuliwa ila walipishana kwenye approach. Mfano wao walitaka lease option na walitaka sheria zibadilishwe/kujitoa multi lateral agreements n.k kabla ya kukamata makontena.

So hii propaganda ya pinga pinga nadhani inaonyesha hampendi kusoma official party documents mnasubiri comments za kigogo na Lema Twitter ndio mnafanya msimamo wa chama.
 
1. Uchaguzi wa 2015 ulikua ni kma vita so hta kushinda Urais wengi wanaamini aliiba kura (Kama alivyokiri Mhe. Amani Karume). So hakutaka tena apitie ile changamoto, so alidhamiria kuwapoteza kabisa upinzani.

Kama issue ni CHADEMA kushirkiana na wezi mbona kina Lowassa na Rostam wamerudi CCM na hawakuitwa mafisadi tena? Mbona Nchambi na Lugola walikua na kesi za ufisadi na ujangili ila hawakufungwa?? Majizi ni wengi ongeza chenge na Mwanyika ila hao wote walipewa position bungei JPM akiwa kimyaaa!!

So sikweli alichukia upinzani sababu eti ya mafisadi bali kwa sababu ya kampeni ngumu za 2015 mfano alizomewa Mbeya na Dar!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…