Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Hivi jamaa wa msoga anaweza vipi jihusisha na Hawa watu.

Hata kama kwa maslahi yake ila hao watu naona wamezidi kwa uchafu na madhambi ya Kila namna

Msoga king kwa umri wake uliofika alasiri anapaswa kujitenga na Hao jamaa kama kweli ana back up kwenye mbishe zao nyeusi.

Bado Sina uhakika ushiriki wake.
Anashiriki nao ndio maana wana jeuri kubwa sana hivi sasa.
 
Yule kaka yao nae si alikuwa untouchable.

Wahuni wakapita nae kiaina ushawahi msikia hadharani.

Ukiwatesa sana watu watatafuta gepu wanapita na wewe kwa namna inayofaa iliyo ndani ya uwezo wao.

Labda uwe unayeyuka.

Otherwise ukikutana na wenye visasi walijisusa waliochoka mateso wanapita na wewe hivi hata uwe unalinda na mabaunsa au mitutu.

Tuache dhuluma hazifai. Na kudhuluma uhai wa watu na dignity zao.

Just wanakukodishia baunsa wale kinyeo chako[emoji1] halafu unakubali yaishe eti kisa huwawezi kudadeki ingekuwa Mimi natoka na roho ya mtu hakynani. Sikuachi kizembe.
Ni kweli kaka yao alikuwa katili kuliko hawa wadogo zake. Ila sasa hivi anaishi kama nyoka pangoni.

Kafanyia watu wengi unyanyasaji na ukatili na mwisho wa siku watu wakapita na uso na macho sasa hivi ni mpofu. Na wadogo zake wanashindwa kujifunza.
 
Said Alikua Mkorofi sana...akamwagiwa Tindikali mpaka leo ni kilema usoni....

Kashfa unayotaka kuleta inajulikana,kashfa ya kuwapa hela hapa unaichukulia china au dubai ni ishu ya kawaida sana..enzi ya Magu matajiri wengi waliitumia..yaani ipo hivi...uko dubai au china na unataka kuingiza hela bongo..unawapa hela china...saa hiyo hiyo unapewa bongo...

Wale ni wachafu na sasa hv wana nguvu kwasababu ya Mr. Born Town...
Hii njia ni nzuri kuliko kutembea na pesa airport
 
Back
Top Bottom