Katika Nchi ngumu Maskini kupambana na Tajiri kwenye swala la HAKI basi Tanzania ni mojawapo.
Tanzania imejaa waoga kila mahali,kuanzia wadudu,mpaka wanyama watu..
Mtoa Haki aliewahishwa hii nchi alikua JPM tu ila hamna mwingine hata mmoja anaeweza simamia haki ya mnyonge.
Uzi kama Huu ungefunguliwa Enzi JPM ni Rais, Dk 10 nyingi mtoa mada angeshapgiwa simu na Salaah kuitwa ofisini kuyajenga.
ila kwa Awamu hii na zijazo, Baba Utapiga ramli chonganishi lakini hamna kitu utafanikiwa, Yani kama vile Salaah anakuangalia Halafu anachekaaa...
Muhimu ni kwamba, Usiache kuongea maana huwezi jua Kesho anaweza inuliwa JPM mwingine mkaipata haki yenu.
ila kuipata haki kwa awamu hiii, Baba utasubiri sana We kama unaweza tafuta shortcut yako lipa watu wape Tindikali wakafanye kweli...
Kumpata Salaah ngumu,we geuka hata mtu usiejulikana.. Fanya Yako na team yako.