Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

COUNT DOWN 67 HRS REMAIN
 
Huyu Salaa ni nani mpaka aogopwe hivi? Kweli nchi ya watu hii. Hongera zake huyu Salaa kwa kuogopwa mpaka na serikali...au labda yeye ndiye serikali yenyewe?
 
Kumbe bongo kuna umafia wa kutisha sana hivi
 
Ukiwa nyuma ya keyboard unaweza ongea chochote
 
Kwa Tanzania na dunia ya sasa matajiri almost 99% wamepata utajiri kwa moja wapo ya mbinu chafu ulizotaja hapo juu,
Kutumia njia halali inawezekana ila ni ngumu sana kwa dunia ya leo
 
Tatizo lililopo ni kuwa wabongo tunachukuliana poa sisi kwa sisi,
akitokea mwenzetu na malalamiko kama hivi tunaona si lolote bali ni chuki binafsi


sijui tatizo ni elimu au ni ulimbukeni wa kukariri
vitu kama hivi huwezi kukuta kwa waafrika wenye ushirikiano na wanao jielewa mfano SA na Nigeria

wabongo tatizo hatupendani sisi kwa sisi alafu tumeendekeza uchawa sana,Mifumo ya kiutawala pia inachangia kwa kiasi kikubwa,wenye mamlaka wanawasikiliza na kiwapendelea Tycoons

hizi mambo kuna kipindi tulizisahau kabisa,ni vile hua hatuukubali ukweli
 
Biashara ya utumwa(kuuzwa utumwani)kumetuathiri mpaka leo

Ova
 
Duuuh,wanaonekana swala tano
 
Nilipoonaga tu yule mwamba aliyetingisha dsm katulizwa na hawa
Nkasema YES vyuma vmerudi [emoji1]

Ova
Hao jamaa ni kiboko matatizo mengi ya watu wanaosafirisha vitenge kampuni tofauti na wao utasumbuliwa utasema TRU wanafanya kazi kumbe pana wahuni wametia kiberiti ukiwapa wao mzigo ni shwari kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…