Kwamba una ushahidi dhidi ya genge la wa msoga halafu utegemee kuna maajabu utayafanya mahakamani? 😀 Hio labda awamu ya 5 ila awamu ya 4B au ya 6 huna utakalofanya kwenye member yeyote wa cartel ya Msogani.Hakuna nayeweza kuinunua mahakama mkuu sema itakuwa wote ni wapiga dili walizidiana ama wamedhulumiana. Mahakamani ukiwa na ushahdi mzuri unaoeleweka hakuna kinachoshindikana
Mshana Jr , mrangi bomu limeteguliwa njoooniNdugu zangu huyu Kijana anaye mshambulia boss anaitwa Eliud. Story yake inafahamika na Wafanyabiashara wengi hapa Kariakoo na yeye Boss Mwenyewe alikuwa muathirika wa Pesa alizochukua huyu Kijana.
Ni Mwaka Jana tu ELIUD Aliaminiwa Kukusanya pesa Kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo ambapo alileta habari ya kupotea Kwa Pesa hizi zaidi ya Bilioni 6 na mpaka Leo hapaja patikana muafaka kutoka Kwake Jinsi ya kulipa Pesa hizo.
Kitendo anachofanya ni kumvunjia Heshima Mitandaoni Mtu ambae sisi tumefanya nae kazi Kwa UADILIFU na UAMINIFU Kwa muda mrefu wa zaidi ya Miaka 19 Sasa mbali na kipindi Hiki Kigumu Cha CORONA tulichopitia.
Nadhani mlie karibu nae Kwa Sasa tumshauri huyu dogo aende kwenye MAMLAKA ZA SERIKALI Ili kujenga hoja ya anachomdai badala ya kuchafuana kwenye Mitandao ambapo Inaweza kumgharimu iwapo Muhusika anayemchafua nae akifuata mkondo wa sheria.
Nchi yetu Hii inaendeshwa na Sheria. Vyema akajifunza kupata haki yake Kwa kutumia Njia sahihi kuliko kumchafua Mtu.
NImeitoa Mahali hebu tupe mrejesho wa hili kwanza mkuu. Maana imebid nimtafute Sallaah kwanza.
Munajengeana hofu tu MkuuKwamba una ushahidi dhidi ya genge la wa msoga halafu utegemee kuna maajabu utayafanya mahakamani? 😀 Hio labda awamu ya 5 ila awamu ya 4B au ya 6 huna utakalofanya kwenye member yeyote wa cartel ya Msogani.
Sio swala la kujengeana hofu, awamu hii ilivyo ni sawa tu na awamu ya 5 ambapo mtu angekwambia anaweza kumjibu shit raisi JPM na kuendelea kubakia ofisini bila tatizo lolote.Munajengeana hofu tu Mkuu
Hio mahakama gani ambayo utaenda na huyo Salah asikingiwe kifua na mzee wa Msogani? Hao ni vijana wake muhimu wanaomuendeshea biashara zake.unaweza kwenda mahakamani moja kwa moja bila kupitia polisi tafuta mawakili wakusaidie
Huyo Mzee wa msoga ataendelea kuwakingia kifua ila ajue ndio maana sababu ya dhambi katika familia yake ana vijana mashoga na watumiaji wa dawa za kulevya. Dhambi haziwezi kukuacha salama hata siku moja.Hio mahakama gani ambayo utaenda na huyo Salah asikingiwe kifua na mzee wa Msogani?
Nani shoga pale kwenye ile familià, maana yule jate anajulikana.Huyo Mzee wa msoga ataendelea kuwakingia kifua ila ajue ndio maana sababu ya dhambi katika familia yake ana vijana mashoga na watumiaji wa dawa za kulevya. Dhambi haziwezi kukuacha salama hata siku moja.
Acha unafki we CHIZI... au na wewe uko kwenye ile chain yao ya watu wanaowafira?!Kafanya vizuri Salaa Tajiri lazima uwe mafia hata kama mimi ningelikua tajiri kwa nchi hii nisingelipa kodi we unadhani izo kodi zetu tunazolipa zinafanyiwa nini zaidi ya kufaidisha mafisadi.
Sasa masikin alidhululumiwa vipi na salaa Hawa wanajuana wote ni wale wale hapa anstafuta huruma tuSio swala la kujengeana hofu, awamu hii ilivyo ni sawa tu na awamu ya 5 ambapo mtu angekwambia anaweza kumjibu shit raisi JPM na kuendelea kubakia ofisini bila tatizo lolote.
Jinsi ilivyokuwa ngumu kwa matajiri kufanya upuuzi ndivyo ilivyo ngumu kwa maskini kupata haki yake kwenye utawala huu.
Huenda wamezungukana kwenye deal.Sasa masikin alidhululumiwa vipi na salaa Hawa wanajuana wote ni wale wale hapa anstafuta huruma tu
Phase 4 hana mtoto pelo (shoga)... hapa rekebisha komredi. Utakuwa unachanganya madesa, nia yetu ni kuanika ukweli wazi na kila kinachowekwa hapa tunataka kuhakikisha kwamba ni cha ukweli uliotukuka! 👌🏾Huyo Mzee wa msoga ataendelea kuwakingia kifua ila ajue ndio maana sababu ya dhambi katika familia yake ana vijana mashoga na watumiaji wa dawa za kulevya. Dhambi haziwezi kukuacha salama hata siku moja.
Yupo brother. Na bado ukiamuq kutumia uchawi ujue Mungu sio tuntufyeNani shoga pale kwenye ile familià, maana yule jate anajulikana.
Teja je?Phase 4 hana mtoto pelo (shoga)... hapa rekebisha komredi. Utakuwa unachanganya madesa, nia yetu ni kuanika ukweli wazi na kila kinachowekwa hapa tunataka kuhakikisha kwamba ni cha ukweli uliotukuka! 👌🏾
Hamna taasisi itakayowafanya chochote hao manyoka wa Jakaya. Ni kupoteza muda tu na usumbufu ukizidi wanaweza hata kukumaliza tu kijasusiTume ya haki jinai imeundwa kwa ajili ya kukusanya maoni na kutoa mapendekezo ya kuboresha taasisi za serikali zinazohusika na haki jinai kama vile Polisi, Mahakama, PCCB n.k kwa lengo la kuzidhibiti ili zitende haki. Haina mamlaka yoyote ya kisheria ya kuwashughulia hao Silent Ocean. Una nafasi ya kunikosoa.
Unaiongelea awamu ya 5 iliyokua imejaza wapiga dili wakiongozwa na mpiga dili mkuu?Kwamba una ushahidi dhidi ya genge la wa msoga halafu utegemee kuna maajabu utayafanya mahakamani? 😀 Hio labda awamu ya 5 ila awamu ya 4B au ya 6 huna utakalofanya kwenye member yeyote wa cartel ya Msogani.
Ndio maana nakuambia hakuna kitu hapoHuenda wamezungukana kwenye deal.
Hakuna anayeweza kuinunua mahakama? Samahani kiongozi , una umri gani?Hakuna nayeweza kuinunua mahakama mkuu sema itakuwa wote ni wapiga dili walizidiana ama wamedhulumiana. Mahakamani ukiwa na ushahdi mzuri unaoeleweka hakuna kinachoshindikana