Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwamba una ushahidi dhidi ya genge la wa msoga halafu utegemee kuna maajabu utayafanya mahakamani? 😀 Hio labda awamu ya 5 ila awamu ya 4B au ya 6 huna utakalofanya kwenye member yeyote wa cartel ya Msogani.Hakuna nayeweza kuinunua mahakama mkuu sema itakuwa wote ni wapiga dili walizidiana ama wamedhulumiana. Mahakamani ukiwa na ushahdi mzuri unaoeleweka hakuna kinachoshindikana