Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Nikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Huu ni UKWELI UNAOUMA! Bahati nzuri hata mleta mada anaujua. Na lengo lake ni kuweka mambo hadharani tu basi, anajua hakuna wa kuwafanya lolote hao jamaa.

Tafuteni hela wazee, kama wewe ni masikini, huna unachoweza kumfanya tajiri hata akufanye nini. Ukiwa fukara daima huwezi kuwa kiburi, masikini jeuri ni msemo tu!
 
Mtoa mada naweza kumuamini maana baadhi ya wenye hela ni dhulumati na wenye dharau.Kuna bwana yule alisema haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa kilichomkuta hatakaa asahau.
 
Sasa anajiondoaje wakati yeye ndio ana majority of shares πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwenye hizo biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…