Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Ni kweli, tena anampigia simu anamwambia kama unarekodi rekodi na upelekea unapotaka hivi sasa serikali iko mfukoni kwetu.
Mwaga huo uozo tuuone hapa hapa usipotee kusikojulikana bila kumwaga huo uchafu mkuu chonde chonde kabla haujakata roho kumbuka kuumwaga huo uchafu tuuone na sisi, fanya km unabonyeza keyboard
 
Tulishasahau matukio kama haya , lkn kwa sasa naona yanakuja kwa kasi sana
 
Usiwe mbishi!

Kuna Full Balozi na kuna Balozi mdogo!

Full Balozi ndiyo hao hua wanaapishwa kabisa na Balozi mdogo wa sehemh flan anakua chini ya Full Balozi!

Unajua kama kuna Dada anaitwa Malkia wa Nyuki alikua shabiki sana wa Simba?? Pia alipewa kua Balozi mdogo sikumbuki Nchi! Usiwe mbishi
 
Aisee ngoja tusubiri udambwidambwi
Hivi mleta mada atakapo andika hizo claims zake hapa,ni nani atathibitisha kua anachodai ni kweli? au ndio tupewa picha tu ila habari tutaandika wenyewe?

Mleta mada anadai asipolipwa huyo Kijana ataanika kila kitu,ina maana akilipwa huyo kijana,yeye kama yeye atakua karidhika na hata anika kila kitu,sasa kwa kauli hiyo hata yeye sio mzalendo kwa nchi yake,na huyo Kijana anayedai inaonekana kabisa kua ni yeye.
 
Una akili za kike kweli wewe. Sasa kama unajua hivyo na ni kidume si uende mahakamani.yaan unamtisha mtu na masaa. Mi nimekuletea nilichokiona kwenye group la wafanyabiashara kkoo. Unaniita chawa unanijua mkuu. We kama umekula hela za wanaume lipa mzee hilo la sheria au masaa unafikiri litabadili kitu. We toa hata masaa mawili lakin hakibadili ukweli hela ulichukua. Mimi kitu kama hii iliwah kunikuta jamaa kanikopa hela aongezee akachukue mzigo china. amerud kaniruka eti hatujaandikiana na sheria za nchi zinakataa sina kibali cha kukopesha. ***** zake .anajua nilichomfanyia na hela alileta baba yake. Wabongo ujinga utatumaliza. Hii dunia trust ndio kitu muhim kuliko chochote. Unaenda China mchina anakuamini anakupa mali kauli container mbili million Zaid ya mia 5. Hakujui hajawah kufika kwako na hamuandikishiani wewe unakuja unauza unakula cha juu. Sasa wengine wanapotea mazima. Lakin mwisho wa siku unapoteza trust na malengo bure kabisa wapuuz nyie. Unawaharibia wengine image kwa upuuz wako.
 
Kwa Nini msiwaroge ili adabu iwaingie hao waarabu Koko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…