Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,475
Kimahesabu ya masaa bado 59Mimi pia na subiri mrejesho.. bado masaa mangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimahesabu ya masaa bado 59Mimi pia na subiri mrejesho.. bado masaa mangapi?
Mwaga huo uozo tuuone hapa hapa usipotee kusikojulikana bila kumwaga huo uchafu mkuu chonde chonde kabla haujakata roho kumbuka kuumwaga huo uchafu tuuone na sisi, fanya km unabonyeza keyboardNi kweli, tena anampigia simu anamwambia kama unarekodi rekodi na upelekea unapotaka hivi sasa serikali iko mfukoni kwetu.
Tulishasahau matukio kama haya , lkn kwa sasa naona yanakuja kwa kasi sanaKwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Umewasiliana na mwanasheria wako lakini??Bibi yetu kazi kurembua macho tu, yani hili janamke silipendi mpaka basi,
Kujizima data nako hakuna maana muda mwingine.... Unaishi Tanzania au ni mgeni??....Hakuna nayeweza kuinunua mahakama mkuu sema itakuwa wote ni wapiga dili walizidiana ama wamedhulumiana. Mahakamani ukiwa na ushahdi mzuri unaoeleweka hakuna kinachoshindikana
Itabidi mzee wa msg,akae nao chinini washirika wa kibiashara wa mzee wa msoga.ndio maana wanajiona wapo above the law.
Sio rahisi mkuu.. Hawa wana mambo mengi, watatamba miaka mingi sana. They know how to play the game!Mwisho wao unakuja 😊😊😊👍🏾
Usiwe mbishi!Acheni kumtukana mzee wa watu na muwe na heshima kwake na kwa nchi japo mnasema wengi wetu ni mazuzu lkn hatujafikia huko.........mnaposema jk akimpa ubalozi huko Uchinani unaweza weka rekodi ya kuapishwa kwa Salaah au kukabidhiwa jukumu hilo kiserikali!!!??,maana inajulikana mabalozi wetu huapishwa kabla na hufanyika dhima maalum ya kuwaaga
Tupe hiyo rekodi ya kukabidhiwa jukumu hilo kitaifa
Viongozi wakuu wa CCm na serikali ni washirika wakuu wa magenge ya uhalifuJPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.
Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.
Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa
Neno "Nasikia" limekaa kimbea mbea sana,leta fact achana na hear say.Nasikia aliwahi kuwa muuza unga pale italy,
Sijui ni yeye au kaka yake
Hivi mleta mada atakapo andika hizo claims zake hapa,ni nani atathibitisha kua anachodai ni kweli? au ndio tupewa picha tu ila habari tutaandika wenyewe?Aisee ngoja tusubiri udambwidambwi
Ndio yeye maana sio kwa povu hilo,anashindwa hata kujibu maswali anayo ulizwa.Na huyo kijana siyo wewe?
Haiingii akilini.
Una akili za kike kweli wewe. Sasa kama unajua hivyo na ni kidume si uende mahakamani.yaan unamtisha mtu na masaa. Mi nimekuletea nilichokiona kwenye group la wafanyabiashara kkoo. Unaniita chawa unanijua mkuu. We kama umekula hela za wanaume lipa mzee hilo la sheria au masaa unafikiri litabadili kitu. We toa hata masaa mawili lakin hakibadili ukweli hela ulichukua. Mimi kitu kama hii iliwah kunikuta jamaa kanikopa hela aongezee akachukue mzigo china. amerud kaniruka eti hatujaandikiana na sheria za nchi zinakataa sina kibali cha kukopesha. ***** zake .anajua nilichomfanyia na hela alileta baba yake. Wabongo ujinga utatumaliza. Hii dunia trust ndio kitu muhim kuliko chochote. Unaenda China mchina anakuamini anakupa mali kauli container mbili million Zaid ya mia 5. Hakujui hajawah kufika kwako na hamuandikishiani wewe unakuja unauza unakula cha juu. Sasa wengine wanapotea mazima. Lakin mwisho wa siku unapoteza trust na malengo bure kabisa wapuuz nyie. Unawaharibia wengine image kwa upuuz wako.Asante sana chawa wa Salaah kuja kumtetea boss wako. Muhimu ni kuwa baada ya masaa 72 tutakutana hapa.
Sina mengi ya kueleza kwa sasa maana masaa bado yanazidi kupungua.
Kumbe anakusanyiwa pesa hadi mtu mmoja anamkusanyia bilioni 6? Kwa utaratibu upi wa sheria za fedha? Anazikusanya kutoka wapi? Masaa yanazidi kupungua. Wewe kachukue posho yako ya leo.
Kwa Nini msiwaroge ili adabu iwaingie hao waarabu Koko?ni sahihi, huyo kijana alienda kushitaki Central Polisi, maafisa wa polisi wakamuambia hata sisi tuna familia na tumepigiwa simu nyingi sana kuhusu hii kesi hivyo hatuwezi fungua mashitaka na kuharibu kazi zetu. wakamsihi tu aende kutafuta namna ya kumalizana nae wao hawana uwezo huo.
Damn it!!!