Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama martial arts zimelala ila kwa unskilled fighter hutoboiHaaha inategemea kamanda
Si mambo ya timing tu
Ova
kwangu mfanyabiashara ni kama akina Bhakheresa, hao wengine kama huyu anaetajwa hapa ni makanjanja watupu! huyu ni mhuni, dhulumati na mkwepa kodi mkibwa! Ndio maana anapenda sana kuwahonga viongozi njaa na wachumia tumbo na ndio maana anatamba kama atakavyo!Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache atese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma last born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
Alivyomwagiwa acid hio mikwasa whatever it is ilisaidia nini?Mtu kama huyu ndio umtishie nyau na ana mikwasa mitatu kiunoni😀😀😀
Wanaweza wakamfanyia timing kama Shizo Abe...au kama rapper AkaHaaha inategemea kamanda
Si mambo ya timing tu
Ova
Hapa na ubalozi kapewa.Hiyo picha ya 3 kwenye nchi zenye kujielewa lazima angetolea maelezo katoa wapi
Ni kweli, tena anampigia simu anamwambia kama unarekodi rekodi na upelekea unapotaka hivi sasa serikali iko mfukoni kwetu.
GSM walinawari sana enzi za huyo huyo JPM. Ni kutokana na kunawiri huko ndiko kuliwafanya hadi waanze kumwaga pesa Utoloni! Na pia, Homeshopping Center ilipigwa mufilisi mwishoni kabisa mwa utawala wa JK. Kwa tuhuma ambazo HSC walikuwa nazo, na sababu zinazosemekana kupelekea kuiua HSC na kuanzisha GSM Group, mtu asingetarajia kwamba GSM Group ingemaliza 2016 lakini hadi Mwamba anatangulia mbele za haki, bado GSM ilikuwa juu, juu zaidi mbele ya huyo huyo JPM. Na ni kipindi cha JPM huyo huyo ndipo GSM "walifunga ndoa" na Bashite, Mwana Mpendwa wa JPM.JPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.
Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.
Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa
Hapo nimechanganya files[emoji1]Digidigi hawezi kuwinda swala, wote wanakula majani.
Ila point yako imeeleweka
Bakheresa huyu huyu anayedaiwa kutumia kemikali zisizofaa kutengeneza juice? Au huyu mbaguzi wa kidini? Ama huyu mafia wa zamani anayewatoa kafara wafanyakazi wake? Kila tajiri lazima atumie njia haramu Kupata Hela Mkuu. Huwezi kumiliki utajiri Kwa kufuata njia sahihi trust me or not ila ndio ukwel huokwangu mfanyabiashara ni kama akina Bhakheresa, hao wengine kama huyu anaetajwa hapa ni makanjanja watupu! huyu ni mhuni, dhulumati na mkwepa kodi mkibwa! Ndio maana anapenda sana kuwahonga viongozi njaa na wachumia tumbo na ndio maana anatamba kama atakavyo!
Unatafuta mkwasa mmoja tu huko kitaa au Tanganyika arms au kule mzinga.Mtu kama huyu ndio umtishie nyau na ana mikwasa mitatu kiunoni[emoji3][emoji3][emoji3]
Nitamtetea mahakamani Dada nawewe punguza shobo huu Uzi sio wakoPunguza shobo kwenye uzi, anzisha wako wa kumtetea
Nyamaza kenge wewe wadhan kila mtu ni bodaboda Kama wewe ndez?bladfaken😅Haya nenda kasafishe banda la Kuku sasa,kabla mwenyewe hajarudi coz upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa tayari.
[emoji23]Labda kama martial arts zimelala ila kwa unskilled fighter hutoboi
Umemaliza banda la Kuku au ndio umejificha tu huku JF? usije tu uka anzisha Thd ya kutafuta huruma hapa.Nyamaza kenge wewe wadhan kila mtu ni bodaboda Kama wewe ndez?bladfaken😅
Martial arts ya Nini mzee hizo mbanga za kimasikini.Labda kama martial arts zimelala ila kwa unskilled fighter hutoboi
Sawa nisiwe mbishi....ila ukiwa radhi rudi kule kwenye posti yake ukaangalie kuna kipande ameandika kuwa alipewa ubalozi mdogo!!!!?au yeye alisema tuu kuwa alipewa ubalozi huko UchinaniUsiwe mbishi!
Kuna Full Balozi na kuna Balozi mdogo!
Full Balozi ndiyo hao hua wanaapishwa kabisa na Balozi mdogo wa sehemh flan anakua chini ya Full Balozi!
Unajua kama kuna Dada anaitwa Malkia wa Nyuki alikua shabiki sana wa Simba?? Pia alipewa kua Balozi mdogo sikumbuki Nchi! Usiwe mbishi
Yaani matajiri wengi Wana sura za kiungwana ila ndani hukoo wananyanyasa watu matapeliNdiyo utajiri huo
Dunia uwanja wa vita
Ova