Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Hahahhaha Dada Victoire , Kuna jamaa yangu alitafuta Mganga kutoka Kigoma huko amroge GSM ili alipwe hela yake dola 300 yule Mganga akamwambia hawa wana majini ni ngumu sana kuwaroga we muombe Mungu kama ni haki yako watakulipa tu
Wale kuwaroga sio rahisi Bora km unajua chimbo zake nenda kamtie chuma tu
 
GSM walinawiri sana enzi za huyo huyo JPM. Ni kutokana na kunawiri huko ndiko kuliwafanya hadi waanze kumwaga pesa Utoloni! Na pia, Homeshopping Center ilipigwa mufilisi mwishoni kabisa mwa utawala wa JK. Kwa tuhuma ambazo HSC walikuwa nazo, na sababu zinazosemekana kupelekea kuiua HSC na kuanzisha GSM Group, mtu asingetarajia kwamba GSM Group ingemaliza 2016 lakini hadi Mwamba anatangulia mbele za haki, bado GSM ilikuwa juu, juu zaidi mbele ya huyo huyo JPM. Na ni kipindi cha JPM huyo huyo ndipo GSM "walifunga ndoa" na Bashite, Mwana Mpendwa wa JPM.

Hivyo basi, hizo porojo zenu tafuteni kwa kuzipeleka! JPM alikuwa na watu wake wa kuwafungia kazi, especially wale aliowaona viburi kama Yusuph Manji na Mzee Rugemalila ambae aligoma kumsujudia ili aachiwe!
Hakika.....kuna baadhi wanahisi wakati wa JPM hawa jamaa alikuwa chini bila kujua kipindi hicho ndo hawa jamaa walitengeneza himaya kubwa sana ya biashara zao na hata kuanzisha hiyo utakatishaji wa fedha kwa kusafirisha mamillion ya dola kutoka hapa kwenda uchinani na ndo kipindi pia wakaanzisha houlage service kwa kumwaga fleet kubwa kwa mpigo na bila kuguswa na yule bwana

Na ndo kipindi iligundulika hao jamaa wamejenga private dockyard kule Kigamboni na serikali ikapendekeza ivunjwe na haikuvunjwa mpaka leo hii ni kipindi kile kile cha JPM
 
Wengi wetu tunamjua kwa nje ,ila kiukweli ikiwa ila ngome ya keko haijabadilishwa basi kwa uenyeji wake ndani ya ile ngome,ukimpa bakhresa kalamu na karatasi anaichora yoote bila makosa km vile nae alikuwa kwenye timu ya wasanifu (architecture)wa ila ngome
 
Martial arts ya Nini mzee hizo mbanga za kimasikini.

Unatafuta mkwasa mmoja unavizia chobingo unamaliza kazi. S

Hizi sio zama za akija jeki sheni au Doni yeni. [emoji1]

Watu wanatamba sana duniani utadhani ni yao pekee yao.

By the way lazima uwe umejisusa maana manjagu wakipanikishwa watakusaka hadi kwenye shimo la choo.

Maana hawanaga reasoning wao ni mbele tembeaaa!!!

Labda uwe na mkwanja uwatulize vibosile waishi kusema "ni ugomvi binafsi"
Hahahahah kukunasa ni ngumu kama kweli umedhamiria kumdedisha. Mnapiga mission na boda boda tu kisha mnapotea
 
Hakika.....kuna baadhi wanahisi wakati wa JPM jamaa alikuwa chini bila kujua kipindi hicho ndo hawa jamaa walitengeneza himaya kubwa sana ya biashara zao na hata kuanzisha hiyo utakatishaji wa fedha kwa kusafirisha mamillion ya dola kutoka hapa kwenda uchinani na ndo kipindi pia wakaanzisha houlage service kwa kumwaga fleet kubwa kwa mpigo na bila kuguswa na yule bwana

Na ndo kipindi ilijulika hao jamaa wamejenga mpaka private dockyard kule Kigamboni na serikali ikapendekeza ivunjwe na haikuvunjwa mpaka leo hii ni kipindi cha JPM
In short they came clean in JPM era. Walitumia akili za kibiashara na kuifilisi HSC legally na kuanza na GSM. GSM ikaenda vizuri kabisa na ile ya mizigo inayozungumziwa hapa ilipoa maanake angelala nao mbele, ghafla baada ya kuingia awamu ingine wameibuka kwa style ile ile ya pre-JPM na hamna wa kuwagusa. Wanaweza kukufanya chochote na huna pa kwenda wakati wa JPM wasingethubutu. Kuna taarifa walienda kuomba msamaha kwa....................
 
Utapambana nao peke yako usipokuwa makini.....wanaofaidika na huduma zao ni wengi kuliko mnaojipanga kumuharibia,shida ambayo jamaa Salaah na his co.ni kutaka kuwaamini wabongo ktk mambo ya pesa na wakishaharibu wanataka wasamehewe,imefikia sasa atawasamehe wangapi kwenye upotevu wa pesa na akiwadai ndo hapa wanakuja kutaka huruma kwa sie wananchi woote utafikiri walitushirikisha ktk huo upotevu

Halafu itambulike kuwa sheria ya ukwepaji wa kodi haimfungi wala kumuhukumu pekee yake,itabidi uwataje na watendaji wa serikali anaoshirikiana na

Ttzo letu tunapenda upigaji na kupotezeana pesa na tukidaiwa tunaona jamaa anatuonea au kutubagua kutokana na ngozi na uwezo alionao......tujifunze uaminifu
Waaminifu wa kweli wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika familia ya Waarabu na Wahindi matajiri wenye kiburi na kujisikia kwamba wao ndio wao ni hawa familia ya GSM.

Mbona familia za akina Bakhressa, Dewji, Subhash Patel hatuwasikii wakiwa na hizo mambo na wana mtonyo kuzidi wao

Enzi za kampuni yao ya Home Shopping Centre waliyodanganya imefilisika ndio maana ndugu yao alimwagiwa tindikali kwa sababu ya tabia yao ya udhulumati
Wajeuri sana Hawa na wanalindwa na msoga na maza
 
In short they came clean in JPM era. Walitumia akili za kibiashara na kuifilisi HSC legally na kuanza na GSM. GSM ikaenda vizuri kabisa na ile ya mizigo inayozungumziwa hapa ilipoa maanake angelala nao mbele, ghafla baada ya kuingia awamu ingine wameibuka kwa style ile ile ya pre-JPM na hamna wa kuwagusa. Wanaweza kukufanya chochote na huna pa kwenda wakati wa JPM wasingethubutu. Kuna taarifa walienda kuomba msamaha kwa....................
Enzi hizo kutoa 40ft ilikuwa yachukua hata wiki 2, unazungushwa na Agent, mara TBS wanataka Milioni, mara TRA wanasema BL inaonesha item tofauti faini Milioni kadhaa, mara TFDA wanataka certificate, mara Long Room wanataka Milioni.

Siku moja HSC wakamfata Mzee pale Mchikichi , wakamwambia tupe Milioni 16 tu afu tuelekeze tupeleke wapi mzigo wako ila hautakuwa na risiti. Tukajua utani kweli bana jioni Canter hizo zikaleta mzigo.
 
Naaam.........na hiki ndio wote wanaombeza mleta mada wanafurahia.
 
Enzi hizo kutoa 40ft ilikuwa yachukua hata wiki 2, unazungushwa na Agent, mara TBS wanataka Milioni, mara TRA wanasema BL inaonesha item tofauti faini Milioni kadhaa, mara TFDA wanataka certificate, mara Long Room wanataka Milioni.

Siku moja HSC wakamfata Mzee pale Mchikichi , wakamwambia tupe Milioni 16 tu afu tuelekeze tupeleke wapi mzigo wako ila hautakuwa na risiti. Tukajua utani kweli bana jioni Canter hizo zikaleta mzigo.
Na ndo msingi upo hapo,ni kwamba jamaa anafuatwa na watendaji wetu wa serikali ili atuhujumu ila sie tunamuona jamaa ndo mwenye ttzo kuu japo pia nae hufanya ushawishi.....ila ni mzazi unatakiwa umkanye mtoto wako asiwe anapokea vya watu na sie mzazi kwenda kuwakanya watu wasimpe vishawishi mtoto wako,sie tulie na watendaji wetu na sio kulia na GSM
 
Back
Top Bottom