Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Hahahhaha Dada Victoire , Kuna jamaa yangu alitafuta Mganga kutoka Kigoma huko amroge GSM ili alipwe hela yake dola 300 yule Mganga akamwambia hawa wana majini ni ngumu sana kuwaroga we muombe Mungu kama ni haki yako watakulipa tu
Wale kuwaroga sio rahisi Bora km unajua chimbo zake nenda kamtie chuma tu
 
Hakika.....kuna baadhi wanahisi wakati wa JPM hawa jamaa alikuwa chini bila kujua kipindi hicho ndo hawa jamaa walitengeneza himaya kubwa sana ya biashara zao na hata kuanzisha hiyo utakatishaji wa fedha kwa kusafirisha mamillion ya dola kutoka hapa kwenda uchinani na ndo kipindi pia wakaanzisha houlage service kwa kumwaga fleet kubwa kwa mpigo na bila kuguswa na yule bwana

Na ndo kipindi iligundulika hao jamaa wamejenga private dockyard kule Kigamboni na serikali ikapendekeza ivunjwe na haikuvunjwa mpaka leo hii ni kipindi kile kile cha JPM
 
Wengi wetu tunamjua kwa nje ,ila kiukweli ikiwa ila ngome ya keko haijabadilishwa basi kwa uenyeji wake ndani ya ile ngome,ukimpa bakhresa kalamu na karatasi anaichora yoote bila makosa km vile nae alikuwa kwenye timu ya wasanifu (architecture)wa ila ngome
 
Hahahahah kukunasa ni ngumu kama kweli umedhamiria kumdedisha. Mnapiga mission na boda boda tu kisha mnapotea
 
In short they came clean in JPM era. Walitumia akili za kibiashara na kuifilisi HSC legally na kuanza na GSM. GSM ikaenda vizuri kabisa na ile ya mizigo inayozungumziwa hapa ilipoa maanake angelala nao mbele, ghafla baada ya kuingia awamu ingine wameibuka kwa style ile ile ya pre-JPM na hamna wa kuwagusa. Wanaweza kukufanya chochote na huna pa kwenda wakati wa JPM wasingethubutu. Kuna taarifa walienda kuomba msamaha kwa....................
 
Waaminifu wa kweli wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajeuri sana Hawa na wanalindwa na msoga na maza
 
Enzi hizo kutoa 40ft ilikuwa yachukua hata wiki 2, unazungushwa na Agent, mara TBS wanataka Milioni, mara TRA wanasema BL inaonesha item tofauti faini Milioni kadhaa, mara TFDA wanataka certificate, mara Long Room wanataka Milioni.

Siku moja HSC wakamfata Mzee pale Mchikichi , wakamwambia tupe Milioni 16 tu afu tuelekeze tupeleke wapi mzigo wako ila hautakuwa na risiti. Tukajua utani kweli bana jioni Canter hizo zikaleta mzigo.
 
Naaam.........na hiki ndio wote wanaombeza mleta mada wanafurahia.
 
Na ndo msingi upo hapo,ni kwamba jamaa anafuatwa na watendaji wetu wa serikali ili atuhujumu ila sie tunamuona jamaa ndo mwenye ttzo kuu japo pia nae hufanya ushawishi.....ila ni mzazi unatakiwa umkanye mtoto wako asiwe anapokea vya watu na sie mzazi kwenda kuwakanya watu wasimpe vishawishi mtoto wako,sie tulie na watendaji wetu na sio kulia na GSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…