mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wadau,wateja zao,mashabiki wa kijani fc hawawezi kumuelewa mleta uzi [emoji1]Haya sasa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,wateja zao,mashabiki wa kijani fc hawawezi kumuelewa mleta uzi [emoji1]Haya sasa
Ukisikia miamba ndiyo hawaWacha tusubirie
Shida yao hawako kwenye manufacturing, wao ni service, real estate, retailUkisikia miamba ndiyo hawa
Ukiwa na godfather rahaa sana [emoji1]
Ova
Anaweza asikumbuke hata kuleta mrejesho akaacha baraza lisambaratike kimya kimya..[emoji3][emoji3]Mfano wakimlipa jamaa madai yake utaendelea na mission yako ya kuwalipua?! Au utauchuna?
Duuh Skendo zingine balaa....Japo sidhani kama kitaletwa kitu kipya tofauti na kilichosemwa.
Hawa watu waliwahi kuwa na skendo ya kupiga shabiki wa Simba risasi Kkoo
Shida ipo wapi hapo mkuu...Shida yao hawako kwenye manufacturing, wao ni service, real estate, retail
Nakumbuka hiiJapo sidhani kama kitaletwa kitu kipya tofauti na kilichosemwa.
Hawa watu waliwahi kuwa na skendo ya kupiga shabiki wa Simba risasi Kkoo
Yupoo namjua ht mimiTeja je?
Wanaonaga sifa washenzi wa tabia Hawa watuNdo zao waarabu washawahi MLA Tigo jamaa Mmoja shinyanga kisa km hicho
Huyo muarabu tajiri WA shinyanga ana kampuni nyingi tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Watu wanafuga majini we unatumia Novena? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sijui skendo gani mpya italetwaDuuh Skendo zingine balaa....
Subhana llaah usitoke ndani bestie na omba sana km vipi 72hrs ipige down amsha popo leoNi kweli nimenusurika kugongwa na Lori la mchanga. Mungu ni mwema maana nilifanya maombi nikijua nachokwenda kupambana nacho
Yupoo bwana labda km kapona ila usikatae...Hizi habari una uhakika nazo au unabahatisha kama dubu?! Kwa akili yako timamu Rais awe na mtoto teja na washindwe kutafuta suluhu?! Wewe unaona ina-click kichwani mwako?!
Wale kuwaroga sio rahisi Bora km unajua chimbo zake nenda kamtie chuma tu
Wakati wengine wanasoma, we ulikuwa wapi72 Bado tu
Hapo Sasa[emoji4]Wewe mwaga yote bana masaa 72 mengi mno ukifa je?
Sasa zetu wenyewe Wana shobo dundo.Waarabu ,wahindi wanapenda kutugongea dada zetu,sasa wakigongewa wao sasa [emoji1]
Hapo shuguli ndiyo inaanza
Ova
Hizo bastola zote za nini