DuhKabisa ,kuna jamaa yangu na yeye walimfanyia hivyo ,alibadili mawakili zaidi ya wa5 at the end akaja kushinda akala mpunga wake....Jamaa aliyekuwa anashindana nae alikuwa na mpunga wa kuhonga....Alistukia mawakili wanahongwa na "MSHUA".
Wabongo banaWe urushe tu kule PM, Usisahau Bestie 😂 😂 😂 😂
Sio Udaku Bestie tunataka kuzijua habari za hawa Wakuda Wanao left group letu sijui wanajiunga na group gani ??
Kila siku mo energy wanauza 1M pieces??? Hivi mkitumia hayo matakataka mnadhani Kila mtu anayatumia sio?Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.
OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake
Mkuu tupige porojo hapa but never underestimate Mo and Metl in general. Kama ulivyoambiwa numbers don't lie.Hizo website za mo wanaandika Forbes au yeye mwenyewe? Kwani wewe unashindwa kuhost website yako manyaza.com kisha ukaweka makampuni uliyonayo na bla bla bla kibao? Mimi naangalia mipango ya namba sihitaji chuki na wana.
150,000,000,000 unataka kusema anaingiza zaidi ya hiyo figure hapo nimechukulia mo inatoka kwa sh 500.Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.
OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake
Niambie Mimi hapa Manyanza napenda habari za Mashoga sio Wabongo mbona unakuwa Mnafiki na unaniogopa?Wabongo bana
Watu wanachukia ushoga ila wanapenda story za kishoga kweli
Wewe huna ulijualo hebu angalia kwenye website ya metl.net na bakheresagroup.co.tz, pale utaona kwenye Makampuni ya MO kuna Firm ngapi ? na Makampuni yake yapo nchi ngapi? na Kwa Bakheresa fanya hivyo hivyo ndio utajua. Bakheresa kaajiri wafanyakazi 8,000 na MO kaajiri Wafanyakazi 27,000. Halafu Biashara ya MO ya hizo Sabuni inaingiza Pesa nyingi Kuliko Azam TV.
Ndio ilivyo na Mhindi anajua biashara hiyo ni zaidi ya 150 B bado kuna tambi, Majani ya Chai, Sukari, Mafuta ya kula. Huyu hater wa MO anazuzuka na Magari ya Bakheresa barabarani na Azam TV150,000,000,000 unataka kusema anaingiza zaidi ya hiyo figure hapo nimechukulia mo inatoka kwa sh 500.
Nime generalize maana ni pattern nayoiona sana!! Nikuogope kwa lipi sasa?
Mwaka jana 2022, MeTL waliuza zaidi ya chupa za MO ENERGY bilioni 1Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Naona. Mshabadilisha upepo wa mada.
Content wa mada saivi anachekelea watz ni wapumbavu tu na wasahaulifu.
Ni upepo utapita.
Saivi mkamdiksasi mo dewji na shoga Gani sijui kaliwa masega huko[emoji1787][emoji1787]
Watanzania ni rahisi sana kuwatawala akili[emoji1787][emoji1787]
Kubwa la maadui anakunywa kahawa ofisini kwake huku akicheka [emoji1787]
Kwan askari wa zenji hana mke?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena na watoto juu anao.
Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.
OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake
Weka hoja zenye mashiko mkuu 🤣🤣🤣Ulimsikia wajina wake JayMO kwenye pesa ya madafu? Aliimba nataka kuwa na pesa kama bakresa mbona hakuimba kuwa na pesa kama MO? Konde Gang naye ana track kabisa ya inaitwa bakresa ikiilezea mitonyo ,Kwa Bongo Bakhresa ndiyo SI unit ya Pesa..Ukiacha unazi na ushabiki MO haingii hata chembe kwa SSB.
🤣🤣🤣🤣Mshindanisheni MO na kina Salaah maana hata kwa GSM anaweza asiingie
Mkuu hizo data umetoa website ya MO mwenyewe ,nilidhani umetoa NBS au BOT.Mkuu tupige porojo hapa but never underestimate Mo and Metl in general. Kama ulivyoambiwa numbers don't lie.
View attachment 2543024View attachment 2543025
Hahaa hizo nimeziongeza tu kama kachumbali ndiyo maana nimeziweka mwishoni kabisa ila siyo kwa umuhimu bali kama chombeza.Weka hoja zenye mashiko mkuu 🤣🤣🤣
Na tukizungumzia mashamba makubwa au kampuni kubwa za biashara ya katani hapa duniani MO ni mmojawapoMzee mo ana mashamba ga mkonge Tanga na morogoro. Hekta za kutosha.
Mkonge ndio unachapisha Hela zake.
Na sio hizo biashara za uchuuzi