Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.

OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake
Kila siku mo energy wanauza 1M pieces??? Hivi mkitumia hayo matakataka mnadhani Kila mtu anayatumia sio?
 
Hizo website za mo wanaandika Forbes au yeye mwenyewe? Kwani wewe unashindwa kuhost website yako manyaza.com kisha ukaweka makampuni uliyonayo na bla bla bla kibao? Mimi naangalia mipango ya namba sihitaji chuki na wana.
Mkuu tupige porojo hapa but never underestimate Mo and Metl in general. Kama ulivyoambiwa numbers don't lie.
Screenshot_20230309_132633_Chrome.jpg
Screenshot_20230309_132509_Chrome.jpg
 
Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.

OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake
150,000,000,000 unataka kusema anaingiza zaidi ya hiyo figure hapo nimechukulia mo inatoka kwa sh 500.
 
Wabongo bana

Watu wanachukia ushoga ila wanapenda story za kishoga kweli
Niambie Mimi hapa Manyanza napenda habari za Mashoga sio Wabongo mbona unakuwa Mnafiki na unaniogopa?
Nimemuomba cocastic hizo habari kwa sababu hao wakina JUX, MWIJAKU ni Vioo vya Jamii sasa inashangaza kidogo wapo huko wameleft group letu inakuwaje kuwaje?
 
Wewe huna ulijualo hebu angalia kwenye website ya metl.net na bakheresagroup.co.tz, pale utaona kwenye Makampuni ya MO kuna Firm ngapi ? na Makampuni yake yapo nchi ngapi? na Kwa Bakheresa fanya hivyo hivyo ndio utajua. Bakheresa kaajiri wafanyakazi 8,000 na MO kaajiri Wafanyakazi 27,000. Halafu Biashara ya MO ya hizo Sabuni inaingiza Pesa nyingi Kuliko Azam TV.

Mkuu ungekuwa unajua kwenye group na firms usingeshapalia ,group inaweza ikawa na firms hata 100 na utakuta zinazopiga kazi labda 5 hizo nyingie zipo kwenye strategy ya upigaji tu na trust kiweb web.

Kila siku nakwambia Mo ni janja janja ,hivi unajua wafanyakazi 27,000? Nenda kwa HR muulize amewapa ajira wangapi contract basis....wakizidi 3000 niite mbwa nimekaa pale.....Usije ukawa unawahesabu hadi wamachinga wanaoenda kunua mabox ya sabuni na kuuza barabarani kwa rejareja ukawaingiza kwenye hao 27,000.

MO haingia kwa SSB hata kwa miaka 100...........Narudia "Numbers don't lie".
 
150,000,000,000 unataka kusema anaingiza zaidi ya hiyo figure hapo nimechukulia mo inatoka kwa sh 500.
Ndio ilivyo na Mhindi anajua biashara hiyo ni zaidi ya 150 B bado kuna tambi, Majani ya Chai, Sukari, Mafuta ya kula. Huyu hater wa MO anazuzuka na Magari ya Bakheresa barabarani na Azam TV
 
Ni
Niambie Mimi hapa Manyanza napenda habari za Mashoga sio Wabongo mbona unakuwa Mnafiki na unaniogopa?
Nimemuomba cocastic hizo habari kwa sababu hao wakina JUX, MWIJAKU ni Vioo vya Jamii sasa inashangaza kidogo wapo huko wameleft group letu inakuwaje kuwaje?
Nime generalize maana ni pattern nayoiona sana!! Nikuogope kwa lipi sasa?
 
Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Mwaka jana 2022, MeTL waliuza zaidi ya chupa za MO ENERGY bilioni 1

Piga hesabu mkwanja walioingiza hapo
 
Naona. Mshabadilisha upepo wa mada.

Content wa mada saivi anachekelea watz ni wapumbavu tu na wasahaulifu.

Ni upepo utapita.

Saivi mkamdiksasi mo dewji na shoga Gani sijui kaliwa masega huko[emoji1787][emoji1787]

Watanzania ni rahisi sana kuwatawala akili[emoji1787][emoji1787]

Kubwa la maadui anakunywa kahawa ofisini kwake huku akicheka [emoji1787]

Hata taarifa ya habari huwa kuna muda wa matangaZo so hapa tunanogesha baraza huku tukisubiri Saa 72 zitimie
 
Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.

OKW BOBAN SUNZU na Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake

Hapa hauzungumziii ushabiki wa mpira,mimi nakwambia MO ni Subset ya SSB kama umepitia hesabu utajua na maanisha nini.

Hizo takataka anazouza MO(nimeita takataka kwasababu la low quality) ,SSB anazo zote tena zenye high quality halafu SSB ana vitu vingine vya ziada ambazo MO hatii hata pua.

Yaani na wewe hauna uelewa hata kidogo ,ebu pitia TCRA wakupe data za Azam kuhusu visimbuzi vyake vina wateja wangapi ,Dar yenyewe ina customers wa azam zaidi ya laki 5.....Azam yupo kwenye telecom ana Azampesa ,Azam ana spectrum yake soon atazindua mtandao wa simu....Huyo Tapeli wenu ni Promo tu lakini hafua dafu kwa SSB.

Ulimsikia wajina wake JayMO kwenye pesa ya madafu? Aliimba nataka kuwa na pesa kama bakresa mbona hakuimba kuwa na pesa kama MO? Konde Gang naye ana track kabisa ya inaitwa bakresa ikiilezea mitonyo ,Kwa Bongo Bakhresa ndiyo SI unit ya Pesa..Ukiacha unazi na ushabiki MO haingii hata chembe kwa SSB.

Mshindanisheni MO na kina Salaah maana hata kwa GSM anaweza asiingie.
 
Ulimsikia wajina wake JayMO kwenye pesa ya madafu? Aliimba nataka kuwa na pesa kama bakresa mbona hakuimba kuwa na pesa kama MO? Konde Gang naye ana track kabisa ya inaitwa bakresa ikiilezea mitonyo ,Kwa Bongo Bakhresa ndiyo SI unit ya Pesa..Ukiacha unazi na ushabiki MO haingii hata chembe kwa SSB.
Weka hoja zenye mashiko mkuu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom