Wakati mwingine hata bila kuangalia Websites hata kwa kuangalia tu jinsi vile bidhaa za MO zinavyotumika mtaani. Hivi unajua kila siku MO energy inauza Chupa 1 milioni? mara mwaka mzima atauza chupa ngapi?
1,000,000 X 365 Ni sawa na Mauzo ya Chupa Bilion 3.5 za juice ya Energy na hapo ukippiga 3.5 Billioni mara bei ya kila cupa unapata shiling ngapi?
Wewe
King Kong III nakuona bado huna uelewa wa biashara na ni limbukeni na haujui. Unazuzuka na Azam TV ambayo haina hata Wateja laki 5 hapa Tanzania? na gharama ya kifurushi ni sh 23,000 utapata shiling ngapi? bado hujalipia TCRA, Wafanyakazi, Umeme, TTCL n.k acha chuki na jifunze kuchambua mambo.
OKW BOBAN SUNZU na
Scars huyu Utopolo ana msema vibaya Boss wetu hebu naoma na nyinyi mnisaidie kumpa maelezo kidogo ili chuki dhidi ya Boss MO iondoke akilini mwake