Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72


Ndio niliona video na risasi juu
Pole sana ila haki ya mtu huwa haipotei Ndio maana majanga huwa hayaishi ndani kwa sababu ya dhuluma na ubabe
 
Duh jamani 🥲
 
Mkuu,pole sana nakuomba na wewe utakapoona inafaa weka Uzi humu ili Serikali ione uchafu unaofanywa na hawa watu,

Nimeshangaa na DC Kigamboni F. Nyangasa nae alishiriki?
Yes alishiriki nikiwa tazara na kijana wangu anae niendesha niliwasiliana na DC.nyangasa,baada kupata tuhuma za mauaji kutoka Kwa ocd. walelo kupitia Simu aliyonipigia milango ya saa Moja usiku nikamwambia ocd.walelo mbona unanipigia kunituhumu na jambo la mauaji na wala siko kigamboni muda huu na nikamwambia ocd unadhani ungefanya kazi Yako tokea saa 12 alfajiri nilivyokupigia kukuomba msaada kwamba eneo langu limetekwa na wafanyakazi wangu wote wako chini ya ulinzi sijui usalama wao ungefika kutoa msaada unadhani yangetokea haya ambayo unanituhumu akakata Simu ocd.

Nilimtuma kaka yangu na manager wangu tokea saa mbili asubuhi wafike Kwa ocd kigamboni mpaka takriban saa nñe wakajibiwa polisi kigamboni na ocd hawawezi kutoa msaada mpaka order kutoka juu.

Kipindi hiko Cha asubuhi Mimi nikiwa central polisi nikitafuta msaada Kwa muliro ambae sikumpata lakini siku kumi kabla ya tukio nilimuandikia muliro barua ya kumjulisha kuwa Kuna njama ambayo imepangwa kufanya uvamizi katika eneo langu.

Nilikutana na GSM ofisini kwake salamander kabla ya tukio siku kaka saba akaniambia unataka nikupe mil 100 ikusaidie maishani mwako mahakamani nimekushinda na ukienda appeal kesi nitaitisha ndani ya miezi 6 mpaka 8 itahukumiwa nitakushinda tena mahakama yote inakunywa chai salamander.

Kiufupi sitoandika tena lakini wajipange soon tutalipa na mh.rais mitandaoni na tumejipanga vyema.

Na vyombo vya habari vyote vitakavyo kataa kurusha tutavianika.

Hivi wanajua struggle ya miaka halali kutengeneza uchumi na biashara yenye value takriban 10 bilion alafu anakuja jizi kama GSM linatamani na kukurudisha back to square one
 
Du!Inashangaza na kusikitisha sana,tunasubiri uwaanike tu Mkuu,maana naona serikali kaiweka mfukoni hasa.
 
Jamaa wanaua na wanatafuta wa kula masega ya victims wao.

So Sod ukiwaona sasa kwenge public events utasema Hawa ndio watu sasa kumbe
 
ila kwa andiko lake la jana inaonyesha ni kweli walidhulumiana kama nilivyosema
Sasa ndo ajichukulie Sheria zote mikononi mwake?!
Amekuwa serikali ndani ya serikali..
Maana kwa mujibu wa mtoa mada, huyo Salaah anakamata yeye, anatuhumu yeye, anahukumu yeye, anaadhibu yeye, anafilisi yeye, na anasema anaweza kuua na hakuna wa kumuuliza, na hata mapolisi wanamuogopa kulinda ajira zao, nk.. !!!

To add salt to injury, ofisi yake ipo adjacent na ya ccm pale Lumumba!
So, hata chama tawala hakifurukuti kwa huyo Salaah?!

Kama hizi tuhuma ni kweli, basi we have a failed state here!
 
Huwezi pata utajiri kwa kufuata sheria Brother. hata mimi ukinidhulumu sina muda wa kukupeleka mahakamani tunamalizana tu ndugu zako wataamua ukazikwe wapi
 


Kwa maelezo yako hukupaswa kutumia neno "kutaifisha mali" badala yake ungetumia neno "kudhulumu mali".

Kutaifisha mali ni kuchukua mali ya mtu na kuifanya iwe mali ya Taifa (Nationalization).
 
Matajiri wengi wapo kwenye technology na sio kuuza vijuice sjui unga , hamna kitu , kdogo na kwenye e-commerce watu wanafanya vzur
Unaponda biashara ya mtu mwingine wakati mwenyewe ndio inamuingizia pesa ambayo unaweza maisha yako yote usiipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…