Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Afu huu uzi bila cocastic ni batili

Sema wambea wa insta walisema gsm anampakua ommy dimpoz mdo maan safar aziishi na jux wake ndo chanzo cha african boy


By the way atuna time keeper
Huyu utamkuta nyuzi za Watu wa Rainbow yeye ndio expert wao.

Ni mbobezi katika Fani na tasnia hio anda shahada ya uzamivu katika hizi mambo hizi sredi yeye ni layman
 
Ni kweli nimenusurika kugongwa na Lori la mchanga. Mungu ni mwema maana nilifanya maombi nikijua nachokwenda kupambana nacho
Hii Vita uliyoanzisha ni kubwa Mungu unayemwamini akutetee🙏hawaoni shida kuita Hadi waganga wa majini na visomo toka kigoma,congo,comoro et al,sema kama kweli wamekudhulumu wahatafanikiwa kukudhuru,maana ni haki na jasho lako.
 
Hii Vita uliyoanzisha ni kubwa Mungu unayemwamini akutetee🙏hawaoni shida kuita Hadi waganga wa majini na visomo toka kigoma,congo,comoro et al,sema kama kweli wamekudhulumu wahatafanikiwa kukudhuru,maana ni haki na jasho lako.
Nashukuru sana. Namwamini Mungu wa Isaka, wa Yakobo na wa Ibrahim atanitetea.

Uzuri kijanq aliyedhurumiwa sijawahi kumuona ila nimepata story yake kwa mtu ambaye pia mzigo wake umechukuliwa na Salaah wakati anataifisha mali za huyo kijana.
 
Alienda Kwa mganga akaambiwa Jamaaa wanamiliki majini hvyo hawawezi labda aendelee kuomba Mungu tuu au aende ki_hamza zaidi..😁😁😁😁
Matajiri wengi wakubwa kutoka nchi kubwa na tajiri kuliko Tanzania waliwafanyia watu mambo ya hovyo na wakaishia kuuwawa kizembe tu! Huyo Salaah mbona kumuondoa easy tu 😊

Acheni ulofa na uzembe! Hamjawa serious!
 
MAGUFULI PEKEE NDIO ALIJUA KUWATUMIA NA KUWAHESHIMISHA TISS NCHINI... MNAWADHARAULIGI NA KUWAITA WAUAJI, HAKUNA MLIJUALO. WAKABIDHINI TISS HILI JUKUMU LA KUWASHUGHULIKIA HAWA JAMAA MUONE KAMA HAWAJANYOOKA 😊
Kuna hela zetu China, Sabaya yupo lupango, kikombe cha corona madagascar, uchaguzi wa 2020, waunga mkono juhudi, maiti za watu kuokotwa ufukweni, watu kuokotwa kwenye viroba wakiwa wameuawa, unawwza ukaendelea kuyataja mengine
 
wanajiita waarabu wa Yemen. ila mmoja alishakula tindikali za uso hivi sasa hata akiletewa mrembo haoni uzuri wake, chezea wabongo wewe. ukilindwa na serikali watu wanakuvizia unless waendelee kuishi kama Panya.

Hivi huyo alomwagiwa tindikal anaish wapi sijawah msikia tenaa
 
Niliwai soma mahali, huyo Sala alitoa Gun mke atibiwe upesi, kama yupo mtu anafanya kazi hapo Msasani anaweza thibitisha hili.
Ahhh! KUMAMAMAE hivi hawa watu weupe wanatuonaje sisi?! Ukishikiwa gun ukatetemeka ujue wewe hujielewi na huzijui haki zako! Kisheria vile vitu havitolewi hovyohovyo! Tena hospital 😳 na eti unamtolea daktari au wataalamu wengine wa afya?!

Hivi sisi waafrika lini tutaamka?! Nani alituroga?! Huyo **** mwisho wake ni mbaya sana! Amini nawaambieni... iko siku ata-mess up na watoto wa mjini, wanaojitambua na kujua haki zao na ndo utakuwa mwisho wake 😊
 
Daaah kumbe nae kasikia n wala hamjui uyo mtu anae mtetea.
Monds Baada y masaa 72 kupita bila kureta tuhuma n ushahidi. Futeni huu uzi please
 
Ila siku hizi wanaitangaza sana kampuni tatizo nini?
Ushindani kwao umekuwa mkubwa sana maana kuna kampuni nyingi zinafanya hizo kazi na ndo kitu pia kilichowapelekea nao kujitanua zaidi kwenye maana Amerika na Ulaya ambapo hawakuwepo kabla.....ukiachana na yoote jamaa ni wakombozi kwa wananchi wengi wanaotuma mizigo ndani na nje ya nchi
 
Back
Top Bottom