Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Alipewa Ubalozi wakati aliishia kidato cha nne. Eti alipewa Ubalozi Guangzhou. Huyu JK hata hana aibu. Ndio maana kuna watu wanasema ni Mkongo. Hana uchungu na rasilimali za Tanzania kabisa.
Acheni kumtukana mzee wa watu na muwe na heshima kwake na kwa nchi japo mnasema wengi wetu ni mazuzu lkn hatujafikia huko.........mnaposema jk akimpa ubalozi huko Uchinani unaweza weka rekodi ya kuapishwa kwa Salaah au kukabidhiwa jukumu hilo kiserikali!!!??,maana inajulikana mabalozi wetu huapishwa kabla na hufanyika dhima maalum ya kuwaaga

Tupe hiyo rekodi ya kukabidhiwa jukumu hilo kitaifa
 
Kati ya ugonjwa mbaya tutakaougua na kututafuna ni mgeni kumuonea mzawa alafu njaa zako na ufinyu wa MAWAZO ukanyamaza,au ukashindwa kupambana kumuokoa huyo nduguyo, Hamna mgeni mwenye NGUVU kwenye mji wa wazawa. MTANZANIA yeyote kama Huna ujasir wa kulinda mwenzio kwa Sabab ya kudanganywa na pesa,au uongoz MBOVU jua Kipindi hicho hakitadumu milele. WOGA huo Acha kabisa. Umoja ni Nguvu Sana, CHEKI MOVIE YA TAI CHI, uone Jet Li alivyokomboa jamii yake iliyokuwa mbumbumbu na yeye ndo mwelev wa vita tu.ilimchukua muda kufundisha jamii yake miaka lakini walishinda. Umoja unazidi pesa.narudia TENA UMOJA UNAZIDI PESA, DHURUMA inaongeza ujasiri wa kupambana na MWOVU. Tuna TATIZO LA ELIMU YA URAIA SANA SANA. sasa tuanelekea TATIZO la KUNYAMAZIANA UJINGA. HAMNA MFUMO USIOFUNDISHIKA, kama Polis ni waoga,sheria imekuwa One side sword. SASA WANANCHI ni kati ya species iliyo mbovu sana ikikata tamaa. NACHUKIA SANA KUTOESHIMU WAZAWA kwa kuwanyima THAMAN. WENGI wanaweza kuzima jeshi na usiku ukawa mchana,meli ikashindwa kutia nanga, kariakoo ikawa kama jangwa, na jangwa likawa kama gulio.Wachek Rwanda, Burundi na Leo DRC tuogope nguvu ya vijana, tuogope ALIYE MWOGA ZAIDI.
FB_IMG_1678113878079.jpg
FB_IMG_1678113901441.jpg
FB_IMG_1677922003219.jpg
FB_IMG_1677828172403.jpg
 
Unajipa kazi isiyokuhusu unless wewe ni msemaji rasmi wa Salah,hebu tuupe muda ndiyo utatupa majibu sahihi lakini siyo wewe kutaka kulazimisha kunyamazisha watu kwa nguvu.Mpaka hapa unaonyesha wewe ni mfaidika mkuu wa mifumo ya kina Silent Ocean lakini sasa uwe na kiasi na uachie watu watoe machungu yao pia.
Jamaa kama anategemea milo m3 kwa hao watu.. umwambii kitu
 
Brother amini nitaweka. Wote lazima tupambane na hawa wahuni.
Utapambana nao peke yako usipokuwa makini.....wanaofaidika na huduma zao ni wengi kuliko mnaojipanga kumuharibia,shida ambayo jamaa Salaah na his co.ni kutaka kuwaamini wabongo ktk mambo ya pesa na wakishaharibu wanataka wasamehewe,imefikia sasa atawasamehe wangapi kwenye upotevu wa pesa na akiwadai ndo hapa wanakuja kutaka huruma kwa sie wananchi woote utafikiri walitushirikisha ktk huo upotevu

Halafu itambulike kuwa sheria ya ukwepaji wa kodi haimfungi wala kumuhukumu pekee yake,itabidi uwataje na watendaji wa serikali anaoshirikiana na

Ttzo letu tunapenda upigaji na kupotezeana pesa na tukidaiwa tunaona jamaa anatuonea au kutubagua kutokana na ngozi na uwezo alionao......tujifunze uaminifu
 
Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache atese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma last born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
Halafu boya kama wewe unakuta ni Mtanzania kabisa nyie ndio wa kuwapiga Shaba hatuhitaji watu wa sampuli yako ur days are numbered maku nyie
 
Back
Top Bottom