Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nahesabu muda tu,wakati wa kutoa tuhuma tuwekee na ushahidi pia, usisahau kum tag, Mwl. Kassim majaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhUna akili za kike kweli wewe. Sasa kama unajua hivyo na ni kidume si uende mahakamani.yaan unamtisha mtu na masaa. Mi nimekuletea nilichokiona kwenye group la wafanyabiashara kkoo. Unaniita chawa unanijua mkuu. We kama umekula hela za wanaume lipa mzee hilo la sheria au masaa unafikiri litabadili kitu. We toa hata masaa mawili lakin hakibadili ukweli hela ulichukua. Mimi kitu kama hii iliwah kunikuta jamaa kanikopa hela aongezee akachukue mzigo china. amerud kaniruka eti hatujaandikiana na sheria za nchi zinakataa sina kibali cha kukopesha. ***** zake .anajua nilichomfanyia na hela alileta baba yake. Wabongo ujinga utatumaliza. Hii dunia trust ndio kitu muhim kuliko chochote. Unaenda China mchina anakuamini anakupa mali kauli container mbili million Zaid ya mia 5. Hakujui hajawah kufika kwako na hamuandikishiani wewe unakuja unauza unakula cha juu. Sasa wengine wanapotea mazima. Lakin mwisho wa siku unapoteza trust na malengo bure kabisa wapuuz nyie. Unawaharibia wengine image kwa upuuz wako.
JPM Wako alijaribu akafa yeye.Halafu boya kama wewe unakuta ni Mtanzania kabisa nyie ndio wa kuwapiga Shaba hatuhitaji watu wa sampuli yako ur days are numbered maku nyie
Nasisitiza wewe chawa wa Salaah. Yawezekana ni rainbow kabisa. Wala usiwe na wasiwasi. Mambo yote anayofanya boss wako nitayaanika. Muda unazidi kuyoyoma.Una akili za kike kweli wewe. Sasa kama unajua hivyo na ni kidume si uende mahakamani.yaan unamtisha mtu na masaa. Mi nimekuletea nilichokiona kwenye group la wafanyabiashara kkoo. Unaniita chawa unanijua mkuu. We kama umekula hela za wanaume lipa mzee hilo la sheria au masaa unafikiri litabadili kitu. We toa hata masaa mawili lakin hakibadili ukweli hela ulichukua. Mimi kitu kama hii iliwah kunikuta jamaa kanikopa hela aongezee akachukue mzigo china. amerud kaniruka eti hatujaandikiana na sheria za nchi zinakataa sina kibali cha kukopesha. ***** zake .anajua nilichomfanyia na hela alileta baba yake. Wabongo ujinga utatumaliza. Hii dunia trust ndio kitu muhim kuliko chochote. Unaenda China mchina anakuamini anakupa mali kauli container mbili million Zaid ya mia 5. Hakujui hajawah kufika kwako na hamuandikishiani wewe unakuja unauza unakula cha juu. Sasa wengine wanapotea mazima. Lakin mwisho wa siku unapoteza trust na malengo bure kabisa wapuuz nyie. Unawaharibia wengine image kwa upuuz wako.
Huyo kijana hata hajui kama kuna hii nyuzi.Na huyo kijana siyo wewe?
Haiingii akilini.
Atakuwa anaishi ndani kama mwali.Hivi huyo alomwagiwa tindikal anaish wapi sijawah msikia tenaa
Hawa jamaa sahvi wanatamba
Wao tu
Ova
Niape mbele za Mungu wangu. Mimi sio huyo kijana. Tuhuma zake na malalamiko yalifika ofisini na wakubwa wameshindwa kumsaidia kwa sababu ya mazingira ya Serikali ya sasa. Nimeamua kuyaweka hadharani ili umma na dunia ijue. Kuna siku atatokea kiongozi mzalendo na kuyafanyiq kazi.Inaonekana Serikali ya mama wameiweka mfukoni.
Ila mtoa mada na yeye ni wale wale sema wamezungukana ndio anakuja huku kutia Jamba Jamba.
Dah! Huyiu bw mdogo alikuja kumwagiwa tindikali!? [emoji849] Kweli nilipitwa!
Unataka kusema na vyombo vyote vya ulinzi na usalama,hayajui hayo?anajua,sema hajali🙏kwa maza tulipigwa na kitu kizito hatari na yote hiyo ni michezo ya mkwere aliwekwa Kama emergency exit incase wakijahitaj escape route in the future,na ndivyo ilivyotokea,mzee wa lupaso alizidiwa kete bila kujuaHuyu bibie mnamuonea tuu labda kwa na sababu nyingine.....ila hao jamaa wanacheza michezo hiyo toka awamu ya nne na kwenye awamu ya tano ndo ilikuwa balaa,
Hii ya kutembea na mabastola inaonekana ni hobby yake,afu atakuwa anatumia mihadarati huyu bila shaka,yote haya kayalea mkwere,inasikitisha sana 🙏halafu anavyojichekesha kinafki utasema bonge la mtu mxiuuu
Mwache adai haki yake,kaona ndio njia itakayomsaidia,hayo ya uzalendo alikuwa nayo nyerere tu🙏 wengine ni unafiq tuHivi mleta mada atakapo andika hizo claims zake hapa,ni nani atathibitisha kua anachodai ni kweli? au ndio tupewa picha tu ila habari tutaandika wenyewe?
Mleta mada anadai asipolipwa huyo Kijana ataanika kila kitu,ina maana akilipwa huyo kijana,yeye kama yeye atakua karidhika na hata anika kila kitu,sasa kwa kauli hiyo hata yeye sio mzalendo kwa nchi yake,na huyo Kijana anayedai inaonekana kabisa kua ni yeye.
Dah!...mabastola yote ya nini ?..