Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Dawa ni kumtafutia jeshi la majini yenye nguvu zaidi kuzidi jeshi la majini alilonalo, dawa ya jini ni jini tu na tuendelee kuyapiganisha majini huko majini yaliko majini na usinitupie jini, mleta uzi mda umekwisha mwaga uozo huo tuusome basi mbon unatuweka sana hivi au unaogopa kutupiwa majini na wewe?
Kuna Member humu JF anayo majini ya kuwadhibiti hawa Mabaradhuri 😂 😂 😂
 
Nimeona hakika anasema alilala na kinasa kapewa 20 [emoji23][emoji23][emoji23] mi nilisema huu ukaribu karibu na mashoga tutasikia jambo na kweli,hivi kwanin mashoga huwa wamelendemka hakika nilijua tu ni shoga

DUuuh yaani amesema yeye mwenyewe ameliwa?? Sodoma na Gomoro hii hapa....Lord have mercy on us.
 
Sina chuki Mimi mwenyewe najiweza kama wao tu na ni muathirika wa hao wahuni Kwa ushahidi na kila kitu chuki Kwa lipi Kwa mfano wanalo la ajabu zaidi ya wizi
Utajiri wao wameupataje?
Walifanya biashara haramu? Ipi?
Waliiba? Walimuibia nani?
Walidhulumu? Walimdhulumu nani?
 
Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache atese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma last born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
Ww unafikiri mahakamani unaenda kirahisi rahisi! Hujui hata huko watu wanaonga. Acha majinga
 
Umejaa chuki tu, nenda TRA utajua uhalisia
Numbers don't lie mkuu! No need ya kwend TRA ,Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.

Mo biashara gani yake kubwa yenye investment ya kutosha? Maana nikiangalia investiment za SSB ni hatari lotta $ ,Mo amejikita kutengeza tambi,sabuni na maji tu ambapo hata Mpagazi wa twita naye anachuana naye.

Ukitaja kujua Mo ni Janja janja uliza 20B alizowekeza aliweka account gani? Angalia SSB kwenye mpira anavyoweka Bs za kutosha.
 
Urithi hutolewa baada ya kifo.

MO hajarithi sababu Baba yake yupo, MO anamiliki 75% ya kampuni ya METL, Familia yale inamiliki 25%

Siku Baba yake akifa, MO atapewa gawio lake kwenye hiyo 25%

MO janja janja ,Msingi wa biashara alipewa na baba yake ,hauwezi kusema kwamba ameanza from scratch ,Baba yake ndiyo yupo nyuma ya huyo TAPELI ,alimpa usd 1m ni sawa na 2.3B kwa sasa!
 
Utajiri wa MO hata siuoni upo sehemu gani ,SSB ana vitu vya maana halafu eti anacheza around 600-900m US$ wakati Tapeli MO ana mashamba ya katani aliyopora ,viwanda vya maji/juice/vibiriti/tambi alafu forbes wanasema ana usd 1.5B ,Uongo mtupu.(In Mzee mpili voice)

Acha chuki na MO wewe, jaribu kupitia kwenye Website zao ndio utajua nani ni tajiri
 
Back
Top Bottom