Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Mkuu hizo 75% alipataje?Urithi hutolewa baada ya kifo.
MO hajarithi sababu Baba yake yupo, MO anamiliki 75% ya kampuni ya METL, Familia yale inamiliki 25%
Siku Baba yake akifa, MO atapewa gawio lake kwenye hiyo 25%