Niwakumbushe principle ya Kimungu, ukiamua kupambana na adui yako kwa njia zisizo za ki Mungu yeye hujitoa means zenu ziamue! Ila wote mtahukumiwa kwahilo labda toba iwaokoe.
Ila ukitumia njia ya Ki Mungu (kama injili inavyoelekeza juu ya adui) hukumu/kisasi kinakuwa juu ya Bwana! Hapo hata ufuge majini yote ya ulimwengu mzima utapigwa tu maana ni kisasi cha Bwana.
Usiombe umkosee mtu alafu akusamehe na kumuachia Mungu na awe mtu wa ibada! Utakutana na moto ukiwa hai.
Sent from my SM-A315F using
JamiiForums mobile app