Mbo Mpenza
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 445
- 1,114
Basha nae ni MSENGEREMA wa juuNajua neddy,kamikaze Ndo machoko jux najua ni basha[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960], [emoji3][emoji1][emoji1][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basha nae ni MSENGEREMA wa juuNajua neddy,kamikaze Ndo machoko jux najua ni basha[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960], [emoji3][emoji1][emoji1][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mangi tajiri alikuwa zulumati na muuaji ilikuw ikifika usiku utamuinea huruma.roho zinaanza kumfata.alikuwa na nyumba nyingi lakini usiku inabidi alale juu ya mti.au awaite baa kwake awape bia adi asubui ili asibaki peke Ake
Duhh...pole Sanaa kweli umepoaaKinasa msukuma ndy nani ?
Hawa ndy nmewajuwa leo
Ova
Toka juzi mbonaaaHiyo taarifa ipo kwa nani nikaisome
Wewe lazima utakuwa utopologist..Hao wote wapo kwenye category moja ,biashara zao ni za mbambamba ,magumashi mingi ,watu kati wengi......SSB amesimama yeye kama yeye.
[emoji1787][emoji1787]Mwaga mboga mkuu ugali ushachacha
A man without a smiling face must not open a shop ~ Chinese ProverbIla hawa jamaa mbona wanaonekana waungwana sana? Unaweza kusoma comment ukabakia mdomo wazi. Mfano Gharib, anaonekana mpole na asiye na makuu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3]Tajiri Mo na Bakhressa wote wana utajiri uchwara wa kukuzwa na serikali , eti Mtu anafanya Kazi kwao analipwa elfu 4
Mchicha mwibaaaaaKumbe Yule Mtoto ni punga zeze!?
Mbona ana demu sasa?!
Kweli umbea kipaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kinasa msukuma amewakula wotee
Yule mama fatma na mwenzie hakika Ruben.
Wameitwa huko central Obay. Sahivi mambo wazi wazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoleeeeeeeeKweli umbea kipaji
Sielewi Chochote [emoji23]
Hakuna haha ya kubishana na wewe Mkuu kwasababu hatujuani hata nikikuambia mm ni tajir ama masikin familia Yako haitanifaika na chochote
Bina nieleweshe basi na mimi nisipitwe.Poleeeeeeee
ndugu zangu tayari nimeweka uzi ambao niliahidi, nimeona huenda majini yananilia timing so yanaweza ninyonga kabla ya masaa 72.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
MO watu wengi humchukulia poa sababu biashara zake zina majina mengi sana, alisema ana kampuni 41 activeweee umesahau glenrich transportation (logistics)
Mkuu anatuzingua huyu[emoji1787][emoji1787]
Kala Ada mkuu mtoto wa darasa la tano 😂Swalehe anaendeleaje mkuu