Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

Huyu tapeli alifukuzwa Mwanza, akipata misaada ya wajane na yatima kupitia kanisa lake anapiga zote,alinunua Toyota Hiace zaidi ya 100,majumba kibao, siku wafadhili wanakuja hakuna hata yatima mmoja, wakalianzisha, akakimbia nchi.

Alikuwa na kikanisa cha mabanzi karibu na rock City mall na kiredio takataka alichotumia kupeleka hate speech
 
We jamaa

Ni mpumbavu sana hivi una shida gani? Vijana wa ccm mbwa sana
 
Ninakubaliana na huyo mTanzania "Mzalendo' kwa yote aliyo yaeleza.

Ningependa tu kuongeza juu ya hilo ombi lililotolewa kwa maaskofu wote. Mimi naomba pia Mashekh wote, siku ya Ijumaa misikitini kwao; niombe watu wote, na makundi yote wapenda haki, kila mahali walipo wapinge waTanzania kutekwa, kupotezwa, na kuuliwa.

Samia kaleweshwa na damu ya waTanzania, na bado anajiandaa kutoa uhai wa watu. Huyu siyo kiongozi tena.
 
Huyu tapeli alifukuzwa Mwanza, akipata misaada ya wajane na yatima kupitia kanisa lake anapiga zote,alinunua Toyota Hiace zaidi ya 100,majumba kibao, siku wafadhili wanakuja hakuna hata yatima mmoja, wakalianzisha, akakimbia nchi.

Alikuwa na kikanisa cha mabanzi karibu na rock City mall na kiredio takataka alichotumia kupeleka hate speech
Hivi umewekeza kila kitu kwa Samia?

Huwezi kuona hata moja baya analofanya?
Hivi mbona unamfanya Samia kuwa ndiye dini unayoiamini?
 
MzeeFumbuaMacho Bishop Augustine Mpemba kama kawaida yake. Holder of MA in Biblical Studies from Belford University,
Twende kazi, mzee content yake imetulia.

Bila shaka ujumbe ushafika.
 
Screenshot_2025-06-03-14-12-48-1.png
 
Huyu tapeli alifukuzwa Mwanza, akipata misaada ya wajane na yatima kupitia kanisa lake anapiga zote,alinunua Toyota Hiace zaidi ya 100,majumba kibao, siku wafadhili wanakuja hakuna hata yatima mmoja, wakalianzisha, akakimbia nchi.

Alikuwa na kikanisa cha mabanzi karibu na rock City mall na kiredio takataka alichotumia kupeleka hate speech
Nyie kila mtu akijitokeza kukemea utekaji na mauaji mnajitokeza kuzima kwa habari zake za nyuma.

Sasa tuannze kujadili na Samia alikuwaje amekuwa Dr wakati alipata division 0 form 4 na pia hakusoma high school wala hana shahada ya kwanza.
 
Back
Top Bottom