Inategemea vigezo unavyotumia. Mtu aliyemiminiwa risasi zaidi ya 38, zikamchanachana 16, akawa mzima, ametembea Tz yote bila kushindwa, lakini ujumbe anaoleta ni ule wa haki na uhuru, huku akisema kweli tena kweli tupu, bila shaka Mungu yupo naye. Mungu alimrudisha kutoka shimo la mauti kwa kusudi maalum. Hata kama si mtakatifu kwa vigezo vya kilokole, anaweza kuwa mtakatifu kwa vigezo vya katoloki.Hakuna mtakatifu hapa duniani
Mimi ni tajiriHiyo familia itakuwa mufilisi
Hana maono atueleze 1.5T imeenda wapi..na yule contractor aliyejenga Chato airport tender ilitangazwa wapi na bunge lilipitisha?Kura ni siri ya Mtu hazipigwi na Familia, Zinapigwa na Mtu mmoja mmoja. Kura yangu nitampa JPM, Wengine katika familia yangu nawaomba waangalie nani wanayemtaka wampe kura, japo nitafurahi wakimpa JPM Huyu ndio mbeba maono ya nchi.
Umebarikiwa wewe na uzao wako wote na kabila lakoMimi na familia yangu, na ukoo wangu wote na jamaa na marafiki tutamchagua Lissu
Mtakatifu ni mtumishi mwaninifu kwa Mungu. Mungu amejisazia watakatifu wale mbinguni na dunian.Kura anazo lakini si kwa unafki wako wa kutaka kumharibia- unajua utakatifu unatumikaje? Kura anazo!
Tindu Lissu tumpe kura,hiiiiiiiiiiiiiiii!Kweli?Labda zuzu.
Mimi pia.Mimi na familia yangu tutamchagua Lissu
Tumebahatisha?Tumepata reli,ndege,mradi wa Nyerere wa umeme,vituo vya afya,umeme wa REA,barabara,elimu bure,shule kongwe zikekarabatiwa,vyuo vipya vya VETA,crossovers nk.nk.halafu unatuambia tumebahatisha.Umelogwa wewe.Mungu atupe nini?Ni mjinga tu atakayetupa kura yake kichakani kwa kumpa Lissu.Hatupo kwenye majaribio,tunachagua vitu vilivyojaribiwa na kuhakikishwa!Ndio umpe kura yeye hata kama huamini uwepo wa Mwenyezi Mungu ,wewe mpe tu kura yako ya ndio,isiwe kila mwaka unabahatisha upande wa CCM tu,ni ukichaa huo au uwendawazimu inakuwaje wewe kila siku kura yako unaiharibu kuipa CCM kuipigia kura CCM ni kuharibu kura yako na kujizidishia ufukara au ndio unapigiwa gitaa kama mbuzi wasanii kibao eti wanawaburudisha,wao yanawaendea vizuri kabisa.Itakuwa hili hulijui ukishatanabahi nakuhakikishia kura yako huipeleki CCM ,yakumbuke unayoyapima sio unasahaulishwa na ahadi za uwongo za CCM ,tutakujengea hili na lile ahadi zilizopitwa na wakati.
Ungalikuwa tajiri usingekuwa unamlamba Tund Lissu Mata.ko yake kwa kuanzisha sredi za kijinga ati amefuta ccm sijui wapi ili akuonee huruma Ili akukumbuke akirudi ubeleji baada ya kushindwa katika sanduku la kura 28/10/2020. Unatamani uzamie ili uwe houseboy wake. Kijana hujui kuwa TL ni mbinafsi na hawezi kuku kumbuka. Umaskini mbaya jamaniMimi ni tajiri
Comment yako inafikirisha sana mkuu, Btw tupo pamojaJapo umetumia neno Mtakatifu sijui kwanini.
Familia yangu imejipanga vilivyo kuelekeza kura zao kwa Tundu Antipas Lissu. Hawatakaa wasahau sebuleni yetu ilijawa na simanzi na vilio siku ya Trh 07/09/2017 jioni tuliporudi nyumbani tukiwa tunajulishana masaibu yaliyompata Lissu...Kila mmoja aligeukia upande wake akifuta machozi kwa ukatili aliofanyiwa Lissu. Kwa nini avamiwe na kupigwa risasi kwenye eneo lenye ulinzi mkali, amewakosea nini? Maswali ni mengi ila Mungu ni Mkubwa kumzuilia na Mauti.
Tutampa kura zetu !!