Ndio umpe kura yeye hata kama huamini uwepo wa Mwenyezi Mungu ,wewe mpe tu kura yako ya ndio,isiwe kila mwaka unabahatisha upande wa CCM tu,ni ukichaa huo au uwendawazimu inakuwaje wewe kila siku kura yako unaiharibu kuipa CCM kuipigia kura CCM ni kuharibu kura yako na kujizidishia ufukara au ndio unapigiwa gitaa kama mbuzi wasanii kibao eti wanawaburudisha,wao yanawaendea vizuri kabisa.Itakuwa hili hulijui ukishatanabahi nakuhakikishia kura yako huipeleki CCM ,yakumbuke unayoyapima sio unasahaulishwa na ahadi za uwongo za CCM ,tutakujengea hili na lile ahadi zilizopitwa na wakati.