Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Yeye ndo kanzisha bifu so acha aisome
Tatizo ta wcb kila mtu anaejitahidi kufanya vizuri wanadhani anashindana na mondi, na tayari wanaanza kumchukia.
Watu wanatafuta maisha kama mondi naye anavyotafuta. Pigeni kazi vijana acheni mabifu.

Nimeangalia ile comment ya harmo kuhusu sallam, ilikuwa ni utani tu kwa mtu ambaye amewai fanya nae kazi lakini hawa mafans maandazi wamegeuza limekuwa tusi.
 
Utani gani kwa mtu ambae unamkimbia kwa birthday pamoja na vijembe.?
 
Utani gani kwa mtu ambae unamkimbia kwa birthday pamoja na vijembe.?
Sijawai kaa na hawa mastar sehemu yoyote tukipiga story, lakini nimewahi msikia harmo akijieleza jinsi anavyojisikia vibaya kuona kuondoka kwake wcb kumesababisha aonekane kama adui wa wcb.

Kuna sehemu Mond na Harmo walitakiwa kualikwa wote lakini mondi akaweka masharti ya kutotaka mahali pale harmo awepo la sivyo yeye asingehudhuria, nilatafsiri hii kuwa ni chuki.
 
Sijawai kaa na hawa mastar sehemu yoyote tukipiga story, lakini nimewahi msikia harmo akijieleza jinsi anavyojisikia vibaya kuona kuondoka kwake wcb kumesababisha aonekane kama adui wa wcb.

Kuna sehem mond na harmo walitakiwa kualikwa wote lakini mondi akaweka masharti ya kutotaka mahali pale harmo awepo la sivyo yeye asingehudhuria, nilatafsiri hii kuwa ni chuki.
Mambo yalianzia hapa,kutoka sio tatizo Ila tatizo ni kutoka kwa vijembe.
FB_IMG_1593522809015.jpg
 
Ni nin kilimfanya Harmo amu unffolow sallam , ni nin kilimfanya Harmo asitishe show baada ya kumuona sallam akiingia , ni nin kimemfanya harmo atengeneze account insta za wambea na kuwafinance ili kumshambulia Sallam na WCB , ikiwa ni pamoja na kutoa nyimbo back to back kuwapiga vijembe WCB, ....Acha kupuyanga hujui lolote behind the scene , hata hvyo WCB washazizoea hzo bifu wacha watembee naye

View attachment 1493754
Wanaaibika
 
Watanzania tunapenda sana unafki, yaani hata kama jitu limekugongea mke wako kisa umekutana nae kwenye public place eti wanataka ulikaushie.

Huyo Harmo anapenda sana unafki wa kujifanya hana mgogoro na mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" tutapambana nayo mpaka mwisho" mambo yatakuwa shwari ", hii kauli ni ndoto za alinacha , ata siku moja mambo hayawezi kuwa shwari hii ni tabia ya mtu mweusi , Uhuru ni pamoja na kujitegemea miaka 50 tunaendelea kuwa tegemezi na kurundika madeni yenye riba , Harmonize ata hapo alipo bado kuna watu wako nyuma yake wanatoa pesa na muda wao , hivyo lazima watu wale tuuu
 
Binafsi nilijiskia vbaya sana an huyo sk n kma mwanamke mabiff ya kijinga mpk Msiban
 
Back
Top Bottom