Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Msiba msiuchukukie Kama sehemu ya unafikiMaana hata kwenye familia hata watu wawe na ugomvi vp wanapeana mikono baada ya msiba kila mtu anachukua hamsini zake......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba msiuchukukie Kama sehemu ya unafikiMaana hata kwenye familia hata watu wawe na ugomvi vp wanapeana mikono baada ya msiba kila mtu anachukua hamsini zake......
Hajavunja ungo, but ni mzee wa busara.Salaam SK kumbe bado hajavunja ungo
KWIOO = kwema au vipi, kwa mfano unamwambia mtu nakupenda, yeye anasema kunipenda huko KWIOO (kunipenda huko kwema au vipi).Tafsiri ya neno KWIOO jaman mmeniacha naona wenzangu mnachangia tuvinaonyesha mmeelewa
Yeye ndio kanzisha bifu so acha aisomeHarmonize amejaribu sana kuenda sawa na wenzake aliowaacha WCB lakini jamaa wamejenga chuki kubwa dhidi yake.
Namshauri Harmo hizo bifu zisimpotezee muda aendelee kuchapa kazi
Tatizo ta wcb kila mtu anaejitahidi kufanya vizuri wanadhani anashindana na mondi, na tayari wanaanza kumchukia.Yeye ndo kanzisha bifu so acha aisome
Utani gani kwa mtu ambae unamkimbia kwa birthday pamoja na vijembe.?Tatizo ta wcb kila mtu anaejitahidi kufanya vizuri wanadhani anashindana na mondi, na tayari wanaanza kumchukia.
Watu wanatafuta maisha kama mondi naye anavyotafuta. Pigeni kazi vijana acheni mabifu.
Nimeangalia ile comment ya harmo kuhusu sallam, ilikuwa ni utani tu kwa mtu ambaye amewai fanya nae kazi lakini hawa mafans maandazi wamegeuza limekuwa tusi.
Sijawai kaa na hawa mastar sehemu yoyote tukipiga story, lakini nimewahi msikia harmo akijieleza jinsi anavyojisikia vibaya kuona kuondoka kwake wcb kumesababisha aonekane kama adui wa wcb.Utani gani kwa mtu ambae unamkimbia kwa birthday pamoja na vijembe.?
Mambo yalianzia hapa,kutoka sio tatizo Ila tatizo ni kutoka kwa vijembe.Sijawai kaa na hawa mastar sehemu yoyote tukipiga story, lakini nimewahi msikia harmo akijieleza jinsi anavyojisikia vibaya kuona kuondoka kwake wcb kumesababisha aonekane kama adui wa wcb.
Kuna sehem mond na harmo walitakiwa kualikwa wote lakini mondi akaweka masharti ya kutotaka mahali pale harmo awepo la sivyo yeye asingehudhuria, nilatafsiri hii kuwa ni chuki.
WanaaibikaNi nin kilimfanya Harmo amu unffolow sallam , ni nin kilimfanya Harmo asitishe show baada ya kumuona sallam akiingia , ni nin kimemfanya harmo atengeneze account insta za wambea na kuwafinance ili kumshambulia Sallam na WCB , ikiwa ni pamoja na kutoa nyimbo back to back kuwapiga vijembe WCB, ....Acha kupuyanga hujui lolote behind the scene , hata hvyo WCB washazizoea hzo bifu wacha watembee naye
View attachment 1493754
Wewe unatakaje?
Yeye ndio kanzisha bifu so acha aisome
Sio kweliNyota unaiba vipi au nawe unapiga tunguli au labda ndio assumptions.Manake huwezi jua maswala ya kishirikina bila ya ww kuwa mshirikina.
Ukweli ni upi?Sio kweli
HahaaWanaogopana uchawi na kuibiana nyota