Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Saudia Arabia wataalamu wa kuutafuta mwezi kwa darubini na Jana hawakuona ndio wauone Kenya na Somalia?Kuna taarifa kuwa somalia na kenya umeonekana.je kuna yèyote ambae amepata taarifa hizo.
ungejibu kielimu,ingekuwa bora sanaKama Saudia Arabia wataalamu wa kuutafuta mwezi kwa darubini na Jana hawakuona ndio wauone Kenya na Somalia?
Kwa hili anga letu la Africa mashariki Jana hata kama tungetumia darubini mwezi tusingeweza kuona
Ila Leo mwezi upo katika hili anga letu tokea sa moja kasoro asubuhi na utazama sa moja kasoro jioni kama tukitumia darubini tunaweza kuona kirahisi tu
Mwezi Jana ulioneka maeneo ya Kashimil India na miaka yote wao huwa wanauona mwezi siku moja kabla ya Saudia Arabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa kuwa somalia na kenya umeonekana.je kuna yèyote ambae amepata taarifa hizo.
Mwenyekiti baraza la sunna amethibitisha hivyo
Kupitia Radio Imaan
na hata kwetu maeneo ya sitimbi vijijini bado mkuuMie kwa eneo ninaloishi bado sijauona, wala sijapata taarifa ya kuonekana, bado nasikilizia.
umeonekana wap mkuu au ndo mwezi wa indiia??Eid Mubarak
Sent from my iPhone using Tapatalk
Asante,, tunashukuru kwa mchango wakoMie kwa eneo ninaloishi bado sijauona, wala sijapata taarifa ya kuonekana, bado nasikilizia.
tujulishane umeonekana wapi ndugu zetu??Kesho eid
Pole sana mkuu,,, sitimbi kijijini sio rahisi kuona mwezi Leona hata kwetu maeneo ya sitimbi vijijini bado mkuu
naona kuna dalili tutamalizia thelathin kesho
kama umeonekana mtusaidie kutuhabarisha mkuu