Hawa wanyantuzu ndio wanatokea maeneo yapi ya usukumani, na ujanja wao upo katika mambo gani?
Wanyantuzu wajanja kuliko wasukuma wote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyantuzu wajanja kuliko wasukuma wote!
Na mtu yeyote baki asie ndugu yako mkiwa mnasalimiana lazima umsalimie kwa jina la babu yake nae atakusalimia kwa jina la babu yako!
Hii kitu wasukuma wanaamini kua katika salamu hizi waweza kutana na ndugu yako kutokana na hiyo historia ya salamu za mababu!
Onepandeka Bhageshi?
babu yangu mzaa mama namwambia EMINZA,bibi namwambia EKAMBA.Babu na bibi mzaa baba nawajibu ESEA.
upande wa baba wote ESIA,kwa mama EMINZA
Hawa wanyantuzu ndio wanatokea maeneo yapi ya usukumani, na ujanja wao upo katika mambo gani?
Ni esia au 'insega'?
Kama vile kula magugulu na michembe na wale Wa Tabora kula Matobolwa! Au?
Hawa wanyantuzu ndio wanatokea maeneo yapi ya usukumani, na ujanja wao upo katika mambo gani?
Ila wanaume wao kwa kuoa wake wengi wanaongozaHawa wanatokea Bariadi na ndio watafutaji wakubwa Wa Fwedha na matajiri na matapeli na wajanja sana!
Utalijuaje jina la babu yako wakati tumekutana tu sengerema .Nitajuaje kama wewe ni Kaswalala, au Mahela aua Ngereja?
Ila wanaume wao kwa kuoa wake wengi wanaongoza
onizukija kaya ong'wise
Andrew Chenge? John Cheyo, etcHawa wanatokea Bariadi na ndio watafutaji wakubwa Wa Fwedha na matajiri na matapeli na wajanja sana!
hahahahhaha, je, kulingana na Ntuzu hapo juu, je hao wahusika "Chenge, Cheyo, etc kama unawafahamu" unakubaliana na Ntuzu na wanasifa kama ulizozisema wewe?Ila wanaume wao kwa kuoa wake wengi wanaongoza
Cheyo na Chenge ka civilization kamewasaidia, kuna kina Eduward Ng'hwani,enzi za shirecu akiwa mwenyekiti karibu kina bhagesi wote walikuwa mameneja,Kuna huyo jirani ya babu yangu,alimwambia babu yangu,Mbate ulinakima umo duhu ubhizaga noko nai?yeye alikuwa na wake wawili shytown na mmoja Bariadi,wanajua kuzitafuta mhilya ila ndo ubovu wao bhakema bhapeAndrew Chenge? John Cheyo, etc
hahahahhaha, je, kulingana na Ntuzu hapo juu, je hao wahusika "Chenge, Cheyo, etc kama unawafahamu" unakubaliana na Ntuzu na wanasifa kama ulizozisema wewe?
Cheyo na Chenge ka civilization kamewasaidia, kuna kina Eduward Ng'hwani,enzi za shirecu akiwa mwenyekiti karibu kina bhagesi wote walikuwa mameneja,Kuna huyo jirani ya babu yangu,alimwambia babu yangu,Mbate ulinakima umo duhu ubhizaga noko nai?yeye alikuwa na wake wawili shytown na mmoja Bariadi,wanajua kuzitafuta mhilya ila ndo ubovu wao bhakema bhape