Salaam za Kisukuma: Eeng'washi, Eeminza, Ng'waguku, Ng'wanene... Msaada

Hata akina Paulo Bomani (late), mzee Majukano au Shinyanga hotel pale mwanza town,nasikia walikuwa of that type, ila kwa Chenge nakubaliana na Ntuzu kuhusu habari za utapeli "vijisenti", nilishafanya kazi na Baba (babu) mmoja for 3 years - anatoka bariadi hahahahha ilikuwa balaa anapenda sana dogodogo,mkienda say training somewhere mkispend night huko basi hawezi lala bila kupata joto

Ni kweli Mkuu Hawa jamaa zangu toka Bariadi ni wajanja sana kuzidi jamii zingine za kisukuma!
Ata ukimkuta amesoma shule ya msingi tu ila ni mjanja vibaya na anatafuta pesa vibaya!
Hao ulio wataja ni maarufu wako wengi tu hawavumi lakini wana pesa vibaya
 
Mashemeji zangu wasukuma. kama unademu msukuma mweupe mrefu hakikisha wakati wa kumuoa muolee Dar usithubutu kwenda kwao usukumani. Wasukuma bwana wanambwembwe katika kujadiliana mahali kama una kifua cha waswasi unaweza kupata hasira na kuacha mke. lakin mkishakubaliana na kuyamaliza ni wakarimu balaa
 
Hivi Shibuda, Hosea (TAKUKURU) nao wanatokea huko? ni type hio
Ni kweli Mkuu Hawa jamaa zangu toka Bariadi ni wajanja sana kuzidi jamii zingine za kisukuma!
Ata ukimkuta amesoma shule ya msingi tu ila ni mjanja vibaya na anatafuta pesa vibaya!
Hao ulio wataja ni maarufu wako wengi tu hawavumi lakini wana pesa vibaya
 
Wandya nanho emihayo yako!
On'gwana ommami nd'oo ale ng'wana womsengi!
Ong'gwana onsheke ntale nkoi!
Nayene; Welelwa,odeba ne omana pyeyose yene mihayo yakesukuma ne maanayayo emo do! Got it, gotcha, understand,

Mtoto wa shangazi ni mkubwa kwa sababu ni mtoto wa "Mkwilima". Mtoto wa mjomba ni mdogo kwa sababu ni mtoto wa "Ng'winga". "Mkwilima" ni mkubwa kwa "Ng'winga" hata kama "Ng'winga ni mkubwa kwa umri. Usukumani mtoto wa kike hakui. "Ng'winga and Nkwilima, wakisalimiana, lazima Ng'winga atuje mazwi kwa "Nkwilima hata kama Nkwilima ni mdogo kwa umri.

Na hiyo ndiyo sababu ya watoto wa shangazi ambaye mme wake ni Nkwilima kuwa wakubwa kuliko watoto wa mjomba ambye mke wake ni "ng'winga kwenye kaya.

Igulagi matu!
 
Ni sawa tu na Mimi nilivotoa maelezo
 
Hawa wanatokea Bariadi na ndio watafutaji wakubwa Wa Fwedha na matajiri na matapeli na wajanja sana!
Kuhusu utafutaji wa peas uko sawa bali kwa utapeli uko mbali sana kama swali la kuchagua lins ABCD wewe umejaza Z.

Bhanatunzu ni aggressive, creative and hardworking. Wangekuwa mamesoma kama wachaga tungekuwa mbali sana.
 
Aya Mkuu Nimekupata!
 
Mtoto wa shangazi ni mkubwa kwa sababu ni mtoto wa "Mkwilima". Mtoto wa mjomba ni mdogo kwa sababu ni mtoto wa "Ng'winga". "Mkwilima" ni mkubwa kwa "Ng'winga" hata kama "Ng'winga ni mkubwa kwa umri. Usukumani mtoto wa kike hakui. "Ng'winga and Nkwilima, wakisalimiana, lazima Ng'winga atuje mazwi kwa "Nkwilima hata kama Nkwilima ni mdogo kwa umri.

Na hiyo ndiyo sababu ya watoto wa shangazi ambaye mme wake ni Nkwilima kuwa wakubwa kuliko watoto wa mjomba ambye mke wake ni "ng'winga kwenye kaya.

Igulagi matu!

Sio kweli, inategemea sehemu ipi hasa huku usukumani, mfano kwa Wanyantuzu Ng'winga ni mkubwa kuliko Nkwilima kwa sababu anachukua nafasi ya mama mkwe, imagine wazazi wote hawapo, ng'winga anachukua nafasi ya mama mkwe na mme wake anachukua nafasi ya baba kwenye hiyo familia. Ila kuhusu mtoto wa shangazi ni mkubwa sababu yake nadhani ilikuwa ni kumpa heshima katika ukoo wa mama yake.
 
Hosea na shibuda Ni walewale, Ila shibuda asili yake Maswa, wanyatunzu Ni balaa kwa Pesa Halaf kwasasaiv wanakuja juu sana kielim, Wanasoma shule za maana na wataalam wa mahesab sana
 
Back
Top Bottom