Salaam za Kisukuma: Eeng'washi, Eeminza, Ng'waguku, Ng'wanene... Msaada

Kuishi kwingi kuona mengi...hizi lwimbo ni idols (miungu) ya kisukuma.

Hapo ndio kuna shida maana unajikuta kwenye mgogoro hasa unaposoma amri kumi za Musa. Hasa Ile amri ya kwanza
 
Mfano nimekutana na baba mkubwa/mdogo ,naanzaje kusalimiana nae ,tena ikiwa Mie ndo nimemkuta amekaa ??

Mtiririko wa salamu unakuaje mwenye kujua anisaidie?
 
Mfano nimekutana na baba mkubwa/mdogo ,naanzaje kusalimiana nae ,tena ikiwa Mie ndo nimemkuta amekaa ??

Mtiririko wa salamu unakuaje mwenye kujua anisaidie?
Mara nyingi anayemkuta mwenzie ndio huanza kusalimia kwa mtiririko wa umri mkubwa kwenda chini, salaam za kisukuma huchukua muda mrefu kwani hujumuisha na watu/Vitu vingine vya kijamii ambavyo havipo kama mvua, afya ya zizi la ng'ombe, mimea shambani na chochote kile kinacho trend kwa wakati huo hujadiliwa ndani ya salaam na ndani ya kusalimiana ndipo utagundua kuwa huyu " LWIMBO" wake Ni fulani na ikishindikana basi option ya mwisho utamwuliza babu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…