Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

Martin Kemosabe

Senior Member
Joined
Jan 28, 2020
Posts
168
Reaction score
78
Unahisi Salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa Kibongo.

Mimi nampa Salama 81% then Millard nampa 83%

Millard_Ayo.jpg
SALAMA5.png
 
Lil ommy + Millard Ayo = Salama

Sio kwa ubaya ila ukichukua tabia ya lil ommy ni kama salama wa planet bongo

Ukichukua za Millard ni kama Salama wa mkasi

Hivyo ntaenda na salama maana anaweza kubadilika na bado akawa amazing..
 
Huyu Millard Ayo kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu amshinde ecejay?!.Nguvu anayotumia Millard na Platform aliyonayo .Salama akitumia theluthi tu hakuna wa kumfikia East Africa nzima.Chukua Dozen + Millard +Mjukuu+ Lil Ommy+ watangazaji wa jahazi pia wapate na back up ya Shonza +Abbas + Mwakyembe bado hawamfikiii kistuli.
 
Unahisi salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa kibongo.

View attachment 1397335View attachment 1397336

Mimi nampa Salama 81% then Millard nampa 83%
Salama ana uwezo mkubwa wa kuuliza maswali korofi yale tena kwa ustadi wa hali ya juu.

Salama kuna ile interview aliyo mfanyia Mzee wa upako,alimchokonoa mpaka akawa anataka kumaindi lkn Salama anaye mwanzo mwisho.
 
Lil ommy + Millard Ayo = Salama

Sio kwa ubaya ila ukichukua tabia ya lil ommy ni kama salama wa planet bongo

Ukichukua za Millard ni kama Salama wa mkasi

Hivyo ntaenda na salama maana anaweza kubadilika na bado akawa amazing..

Umemshusha sana Lil Ommy.

Weight yake inaweza kuwa sawa na Salama.

Millard bado, ila yuko kwenye right track.
 
Back
Top Bottom