Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Salama anaweza akaakuliza kitu kwa kuzunguka ila ukaampa majibu kwa kile alichokusudia,,,,,,mfano aliwah muuliza diamond way back kwenye mkasi kwamba unajisikiaje aaahaa uyu anakua na kuuanza mziki tunamuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama ana uwezo mkubwa wa kuuliza maswali korofi yale tena kwa ustadi wa hali ya juu.Unahisi salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa kibongo.
View attachment 1397335View attachment 1397336
Mimi nampa Salama 81% then Millard nampa 83%
Lil ommy + Millard Ayo = Salama
Sio kwa ubaya ila ukichukua tabia ya lil ommy ni kama salama wa planet bongo
Ukichukua za Millard ni kama Salama wa mkasi
Hivyo ntaenda na salama maana anaweza kubadilika na bado akawa amazing..
Millard ayo is the best